Mtunza Ikulu Mstaafu afariki dunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtunza Ikulu Mstaafu afariki dunia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongo, Oct 29, 2012.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Wakuu heshima sana,

  Mtunza Ikulu Ndogo mstaafu (Mama Lucy) wa Arusha amefariki na anatarajiwa kuzikwa siku ya jumatano katika makaburi ya Njiro jijini Arusha.

  Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza wakaazi wa jiji la Arusha katika mazishi hayo.


  RIP Mama Lucy.   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Hayati Mama Lucy katika picha.

  [​IMG]
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  huyu mwandishi wa hii tread nahisi alikuwa na madhumuni mengine ya kuandika sio kuleta habari ya msiba
   
 4. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,376
  Likes Received: 81,383
  Trophy Points: 280
  kimekuuma?
   
 5. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,566
  Likes Received: 16,534
  Trophy Points: 280
  Naomba nikusahihishe Ngongo unatakiwa kusema Marehemu Lucy na siyo Hayati Lucy,wanaojua kiswahili vizuri wanaweza kukuelimisha ni kwanini Marehemu na siyo Hayati.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu obama wa bongo nitakuwepo katka mazishi bila shaka JK atakuwepo pia msiba mkubwa sana.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Sasa kama wewe umemtukana hivi mwenzio, unapataje moral authority ya kumlaumu mleta maada (hata kama ni kweli kakosea)?
   
 8. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Namheshimu sana Mzee Malecela ningekuwa mimi singeweza andika upuuzi huu. Taarifa ya kufariki Lucy ilikuwa iwe kivyake na hii taarifa ya UDAKU. Kwani ajabu ni nini hapo Mkuu???
   
 9. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe mtu ni mpuuzi sana, hivi umeleta habari za msiba au masihara. Pili wala huna data. Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu alikuwa yuko nyumbani muda mrefu akiugua kansa ya koo. Pia huyu mama ana watoto watatu na siyo wawili.

  Ukweli ni kwamba mama yetu amepumzika na mazishi yatafanyika siku ya juma tano makaburi ya Njiro ibada ita anza saa 6 mchana. Mheshimiwa Raisi pia atakuwepo kwenye mazishi.

  Habari za Malecela sizani kaba zina essence yoyote katika hili swala. PUMBAVU WEWE.

  Tutakutana kwenye kikao mchana huu Albero Club
   
 10. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  hebu rudia kusoma vizuri!! nimetoa mawazo yangu as great thinker
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Amesha Edit , sidhani kama alimaanisha hivyo , ni kosa la kuchapisha tu.................!
   
 12. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pumzika kwa amani Mama Lucy.
   
 13. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pumbavu sio tusi ni tabia za mtu flan flan na katika jamii zetu wapo wengi hii ikijumuisha na wajinga. Kwenye suala msiba kama hivi jamani tuwe wastaarabu angalau. RIP Mama yetu!
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nduka Original

  Kama Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu basi huo ni udhaifu mkubwa wa wizara ya utumishi hasa ikizingatiwa muda alioanza kuuguwa na umri halisi.

  Mimi nawafahamu watoto wawili tu huyu mwingine sijui kaibukia wapi.

  [1] Lipina Macdonald Lemunge

  [2] Mkami John Malecela.

  Kikao cha mazishi kinafanyika nyumbani kwa Marehemu Haile Selesie Road na si Albero Club.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ana umri gani mkuu? na kaugua kitambo gani? RIP mtumishi wa ikulu
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu mmbangifingi tangu ameanza kuugua ni zaidi ya miaka sita.Mama Lucy ana zaidi ya miaka sitini na tano.

   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Sawa great thinker; ila ingependeza kukiri kuwa uliteleza mwanzo.


  "Kukiri upungufu ni Kitendo Cha Ushujaa"
  J. K. Nyerere (Mwongozo wa Chama 1982)
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Jama matusi ni ya nini? Fair enough, labda hukufurahia hiyo additional information. Kama unaona mleta maada kakosea kuileta - maybe kwa kudhani inamdhalilisha marehemu (though kisheria huwezi kumkashifu marehemu maana hajaisikia na hataisikia hiyo kashfa), sasa kwa nini nawe utukane kwenye uzi huo huo? Unakuwa na utofauti gani na huyo wa kwanza?
   
Loading...