Majira ya mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majira ya mwaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Myanguneni, Oct 28, 2012.

 1. M

  Myanguneni JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,179
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF,
  kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari juu ya majina haya ya miezi katika miaka na sijapata jibu , kupitia jukwaa hili la wana Jf najua nitapata majibu.

  utata wangu katika miezi hupo katika maene yafuatayo:-

  1.Dunia yetu tunayoishi ina mwezi mmoja tu ambao ndio tunaoutumia kupata majira ya mwaka na pia kuna jua moja ambalo kwalo linatupatia usiku na mchana( Dunia inapojizungusha yenyewe katika muhimili wake ndio tunapata usiku na mchana, na inapolizunguka jua tunapata majira ya mwaka kama niko sawa. ) sasa ni yapi mahusiano ya miezi hii tulionayo ya january, February ...... na uhalisi wake?

  2.Waislam wanadai kuwa wao wanafuata majira ya mwandamo wa mwezi katika kupata mwaka na miezi je watakuwa wako sahihi kimantiki kwa sababu wanatumia sayari hii ya Dunia kupata majira hayo?
  3.Katika moja ya vitabu vya historia kinachoitwa Encyclopdia Britanica inaelezea asili ya majina haya ya miezi na miungu ya kirumi,mf January ni mungu wa kirumi ambaye ni mwanamume jina lake halisi ni "JANUS" mke wake anaitwa Februata (February) naye huwa anatabia za kike mf kuwa na hedhi kwa siku ndio maana anakuwa siku 28 badala ya 30 .

  Naomba wana JF wenye uelewa juu ya mambo haya watuelimishe maana ni muhimu kupata maarifa

  nawasilisha.
   
 2. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  hivi mwaka mpya wa kiislam Unaongoza wapi Duniani
   
 3. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 2,384
  Trophy Points: 280
  Hii inategemea na nini unataka,mfano gregorian calender wako mwaka 2000 AD waislam1413 AH,
  wachina 7000, wa misri 4000 na mimi mdengereko miaka 500 toka tulipo hama kutoka S.Africa na jamaa zetu wangoni na wahehe
   
Loading...