ofa ya vodacom Super cheka ni usanii mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ofa ya vodacom Super cheka ni usanii mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Oct 28, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  yaani ofa hii ni ya kisanii sana.ukijiunga utasikia 'namba unayopiga haipatikani'

  halafu kuanzia juzi siku ya iddi unaambiwa haipatikani.

  Mnaweka ofa za nini kama hamuwezi kihandle?

  Samahani kwa uongozi wa Jf hata kama voda wamewadhamini acheni tuwape vipande vyao.
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  wazee wa kukata mmeniboa sana
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,443
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  voda ni wezi tu kama wezi wengine .
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,443
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  super wezi . hahahahaha...............
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Mbona mimi huwa Nainjoy tatizo ni Airtel mkuu, unaongezwa 2500 kwa kutumia
  500 tu sasa itumie hiyo 2500 uone inavyoosha kama mia tu.
   
 6. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 682
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hawa voda wanakera sana na offer zao hizi hasa cheka , afadhali ya tigo, wanakuchapa huku wakikubembeleza,
   
 7. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 280
  Mimi binafsi huwa na-enjoy sana.

  Kwa siku natumia Tshs 400/= tu kuongea hadi usiku na SMS kibao vidole gumba vinatembea tu.

  *149*01# Raha tupu.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 8. GOOGLE

  GOOGLE JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 1,820
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  wezi hao,, wa hack
   
 9. S

  Simba Yuda Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nivizuri waziri wa mawasiliano achukuwe hatua za kishelia kama alivyo fanya waziri wa DRC kwa makampuni yote ya simu .maana hapa Bongo tabia za mkampuni ya simu zinafanana
   
 10. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 682
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Airtel nao ni walewale, wanakupa salio mara tano ya amout uliotumia kwa siku, ila sasa, hilo salio la nyongeza lazima litumike ndani ya siku moja. ukihoji sana utaishia kuambiwa vigezo na masharti kuzingatiwa, Wizi mtupuu...
   
 11. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona mie najiunga daily na inakubali vizuri tuu? Mi cjaona huo wizi wao kwa kweli!....
   
Loading...