Wikipedia wasema Waafrika ndio tunahusudu UCHAWI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,839
Hii nimeipata kwenye Wikipedia:-
Uchawi - Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchawi ni nguvu za giza zinazotumiwa na jamii nyingi, hasa za Kiafrika, kwa ajili ya mtu kuumiza watu wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujilinda au kwa ajili ya kujifurahisha kwa kuwatesa watu wengine kwa kuwachukua msukuleau kuwafanya waugue au wafe. Mara nyingi, wachawi hudai kwamba wanaweza kuwasiliana na roho kama mashetani, majini, vigwengo, vinyamkera na kushirikiana navyo.
Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za giza wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia.

Jamani mbona mataifa ya Latin America, India na Far East ni wachawi lakini hawasemwi?
 
Back
Top Bottom