JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya baadhi ya Waislamu yaliyotangazwa kufanyika Novemba mosi na mbili mwaka huu ya kushinikiza kutolewa rumande kwa Katibu wa...
Nimesikia ktk vyombo vya habari kuwa rais anachukizwa na umasikini wa watanzania,pia rais anachukizwa na rushwa,tena anachukizwa na mafisadi ktk halmashauli mbalimbali,wizara hata mashirika ya...
Taarifa kutoka Nigeria zinaeleza kuwa kituo cha polisi kimeshambuliwa pamoja na shule ya msingi na milingoti minne ya simu, katika mji wa Fika, kaskazini-mashariki mwa nchi...
katika taarifa ya habari tbc saa mbili leo usiku, kumekuwepo taarifa inayohusu malalamiko ya akina mama wanaofanya kazi katika kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki sangara, kuhitajiwa kufanyiwa...
Wanajamvi
Jamani tusisahau ile kesi chadema walimfungulia Nape adhibitishe nchi chadema wanapata mabilioni au misaada kwa kuhonga rasilimali zetu iliyofunguliwa na chama.
Naomba chadema...
04/11/2012
Newlyweds Jessica Biel and Justin Timberlake can be seen getting on a private plane at the Kilimanjaro International airport in Tanzania on October 21, 2012. Credit...
Wanajamvi
tunakumbuka kesi chadema walimfungulia Nape adhibitishe nchi chadema inapata misaada kwa kuwahonga rasilimali.
Naomba chadema na hata watu wa mahakama watuambie kulikoni mbona kimya...
Kwanza Katika Jiji la arusha uchafu umekithiri, hakuna DUST BINS
ELimu ya usafi itolewe kwa wingi
Barabara za kuunganisha ni finyu, mfano ukitokea Njiro, ukiingia barabara ya Old Moshi mpaka...
Hivi kuna mwandishi wa habari anayeripoti habari za mazingira zaidi ya VEDASTO MSUNGU? Kutokana na unyeti wa suala la mazingira nafikiri anapaswa kupewa motisha fulani.
Kama viongozi mbali mbali katika idara mbali mbali wangekuwa na dhamira ya kweli kuongeza ufanisi na kupunguza rushwa kwa nini wasingetoa namba zao za simu ili mtu anayehitaji huduma akizungushwa...
Sijui hii imekaaje, unapiga simu, unapokelewa na tangazo lao la XTREME kama dk moja na nusu then ndo unaambiwa simu haipatikani, iko busy au haipatikani, mi naona ni kero na kupotezeana muda...
Kumchagua Abdalla Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi kunaonyesha kweli CCM vimeo. Jamaa alikosa sifa za kuiongoza Villa Squad kwa kuwa hana elimu ya form 4 hivyo kamati ya Tff ikampiga chini...
Wadau hivi ni kweli kwamba TANESCO wamechange charging system yao, kwani baada ya ku-istall system mpya yao wakati ule tunaambiwa (ilikuwa september mwaka huu) kwamba lazima ununue umeme kwanza...
Waandishi wa Habri Walio andika ukweli dhidi ya Banda akiwa Upinzani wameanza kushughulikiwa!!
National MBC TV cameraman Chauluka who insulted JB gets demotion...
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ambaye pia ni mgombea wa maisha wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho cha makabwela leo ameamua kuwa muwazi na kuweka wazi itikadi...