Wanajamvi!
Katika matukio yanayoendelea kwenye mkutano mkuu wa 8 wa CCM, Mzee Yusuf Makamba aligeuka muhubiri kwa kunukuu maandiko matakatifu yaliyopo kwenye biblia na misaafu wakati akimuombea...
Kuna watu,wafanya biashara ndogondogo,almaarufu machinga, wanauza kofia (mzula) zenye rangi ya bendera ya chadema, zina alama na nembo ya chama ya vidole viwili (V), wanauza kati ya tsh...
Nimelazimika kuomba Cv ya huyu Ahmedi kaimu mkuu wa chuo cha CBE,Mimi si mtofautishi sana kiutendaji na Prof Mlacha.
Sielewi hawa jamaa Network zao kwenye SERIKALI ndo vinavyowapa kiburi.
Wadau naombeni mnisaidie namna ya kuweza kuanzisha private NGO (NON GOVERNMENT ORGANISATION) hapa Tanzania. Namaanisha taratibu za kufuata ili iweze kusajiliwa.
AKSANTENI.
Source gazeti la Majira
Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa...
Imekuwa ni jambo la kawaida kila kitu kulaumu serikali hasa kwa vijana, watu wazima , wakina mama, wazee na watu wa kada mbalimbali mfano, walimu ,madaktari na wengine kutaja wachache.Pia serikali...
Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa DART Bw. Cosmas Takule, leo amekabidhi rasmi mikoba kwa Kaimu Mtendaji Mkuu Bi Asteria Mlambo.
Habari za kuaminika kutoka katika vyanzo vyetu ni kwamba makabidhiano...
Kama tulivyowahi kupashana habari kua Katibu wa Mufti Zanzibar sheikh Soraga alimwagiwa tindi kali na watu wasio julikana. Tukio hili liliongozana na matukio tofauti yaliowah kupita nyuma kidoogo...
Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga na Bombo Dr. Karia, kaimu wake Dr. Naima, muhasibu wa hospitali na kiongozi wa interns wa hapa Dr. Mwema wameshirikiana kuiibia serikali...
Ule msemo wa Old habits die hard umedhihirika rasmi kwamba upo na utaendelea kuwepo daima
tumeanza biashara za kuuza magari hapa tanzania na tumekubaliana na baadhi ya watanzania wanaoishi UK ILI...
Ndugu wadau wa JF nachukua fursa hii kujitambulisha kwenu ikiwa ni mara yangu ya kwanza kutawakali katika jukwaa hili maridhawa kwa ujengaji hoja anuwai zenye lengo la kupata suluhu ya changamoto...
Katika mikoa ya kusini mwa Tanzania, Lindi au Mtwara, kulikuwa na vijiji jirani viwili ambavyo watu wake walikuwa wanashirikiana kutumia maji ya mto mmoja unaopita baina ya vijiji hivyo. Mto...
Moto mkubwa unawaka muda huu hapa katika ghala la kampuni ya daftari na vitabu (simba)iliyopo barabara ya nyerere eneo la vingunguti pembeni ya kiwanda cha pepsi na living room. Jitihada za kuzima...
SUNDAY, NOVEMBER 11, 2012
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision, Alfonse Kioko (Kushoto) akipokea funguo za ndege mpya ya shirika hilo ya ATR 42-600 kutoka kwa Mkurugenzi...
serikali imehamia tunduru,operesheni ya kusaka majangiri na watu wanaojishughulisha na biashara ya nyara na uwindaji haramu imeshika kasi na kupelekea wananchi wengi kukimbia maeneo haya.hadi sasa...
Jeshi la Polisi kitengo la Usalama Barabarani nchini, kimekusanya zaidi ya Shilingi bilioni 11 katika kipindi cha Januari hadi Septemba mwaka huu kutokana na makosa 388,700 yaliyofanywa na...