Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna utapeli wasikuizi ni hatari.. Kama wiki mbili zilizopita katika gazeti la Mwananchi la tarehe 2 novemba niliona tangazo la chuo cha afya cha Eckernforde Tanga University kwa wito kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
By Nancy Sathre-Vogel Now that I’m old and gray (but not quite in my rocker yet!) I look back on my life and think about things I wish I knew earlier. It would have made my life so much...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Wana JF.. Ninaomba mwenye contact numbers za hiyo kampuni mpya ya ndege ya bei nafuu anipe.. Ninategemea kuwasafirisha wazazi kwenda Mwanza kwa ajili ya graduation ya ndugu yangu.. Mnajua jinci...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Dodoma kimetoa tangazo kwenye gazeti la Daily news la tarehe 12/11/2012, ukurasa wa 20, kuhusu usaili wa watu waliomba kazi chuoni hapo katika kada zote. Tangazo hili limeeleza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku zote nimekuwa najiuliza swali ambalo ni gumu sana kupata jibu kuhusu jamii yetu, Hivi ni kwa nini viongozi wetu hasa wa upinzani wamejikita sana kwenye kuongelea mambo ya Gesi na Madini? kama...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Posted Wednesday, October 31 2012 at 22:52 IN SUMMARY Mbunge wa chama cha upinzani anatoa mchango wake anaambiwa kaa chini hata kama ana mchango mzuri kiasi gani Spika akiwa kwenye chama fulani...
0 Reactions
131 Replies
18K Views
Kuna kawimbo vick kamata anaimba Kizota kanaendelea sasa hivi.....mageuzi usiniguse una shombo mimi nimeolewa CCM...NINA AKILI TIMAMU MAGEUZI USINIZOEE.... Vipi nani kasikia wimbo huo ,na nini maoni
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna jamaa ni mwanafunzi wa PhD. Anafanya PhD yake UK na hapa TZ. Akiwa katika mwaka wake wa mwisho wa kumaliza PhD yake, alipaki gari maeneo ya mwenge, Baada ya dakika kama 20 kurudi akakuta begi...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Kwenye mkutano mkuu wa nane wa chama cha mapinduzi,mwenyekiti amekuwa akitumia kauli tata akiita CCM kuwa chama ''dume'' na jana akaongeza kuwa chama dume tena dume la mbegu.Mi nadhani kwa nafasi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Tutofautishe kati ya HAKI ZA KIJINSIA NA USAWA wa kijinsia! Mimi Nakataa hakuna USAWA WA KIJINSIA!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
70 per cent of central Venice underwater today reaching 59 inches Tourists waded through waters in wellington boots and donned swimwear Iconic St Mark's Square flooded leaving normally bustling...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Bonyeza hapa kusikiliza Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar wanakabiliwa na hali mbaya gerezani. Mawakili wa Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Kufuatia kujiuzulu kwa mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji la BBC George Entwistle baada ya kushika wadhifa huo kwa muda wa wiki nane tu, leo maafisa wengine wawili wakuu wa shirika hilo...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Muuzaji mkubwa katika soko kubwa la punda nchini Nigeria ametekwa nyara na watu waliokuwa wamejihami. Polisi wanasema kuwa kutekwa nyara kwa Al-Haji Salisu Yunusa,kumesababisha kufungwa kwa soko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jana katika mkutano mkuu wa CCM watoa mada mara kwa mara hasa wale wa upande wa ZNZ walikua wakieleza ya kua Uamsho wameanzisha vurugu ZNZ na kwa upande wa bara ex Nape Nnauye nae alikua anaimba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA:Taarifa zisizo za Ukweli kuhusu "KATIBU MKUU NISHATI AJIUZULU" TUESDAY, NOVEMBER 13, 2012 TAARIFA KWA UMMA Msemaji wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kuna taarifa zimetokea huku arusha zinazoonyesha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Mfungwa cosmas amepata kipigo kikali na kuvunjwa mguu kutoka kwa askari magereza anayeitwa ngwale. Sakata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamii inapokuwa na upungufu wa vitu inajijengea saikolojia ya uhaba. Kitu chochote huishia kuwa na thamani hata baada ya kutumika. Naam hata sindano na viwembe achilia mbali kondomu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya CCM ni dhaifu mno? Tena ni dhaifu sana. Hapa tuangalie swala moja tu. Swala la vipimo vya kichina. Last wiki nilikutana na vipimo vya kichina vya barabarani. Katika vipimo hivyo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom