nimetazama filamu ya 24hrs nikaona kunavitu vilivoigizwa mule vina uhusiano wa moja kwa moja na siasa ya marekani, kwa mfano ili onyesha raisi wa marekani atakuja chaguliwa mtu mweusi na atafanya...
Soon, giant hippopotamuses will be running amok in the new Arusha City.
City fathers intend to tame the watery mammals by placing them under full control once the proposed special tourist...
Ndugu watanzania wenzetu sisi wanakijiji wa kijiji cha Ruhita wilayani Karagwe ambao ni wafugaji hivi sasa navyoandika tunapigwa na kuchomewa Nyumba zetu hali ni mbaya sana zaidi ya Nyumba zetu 93...
Plz review and like if you find the idea is interesting
Application: Use of Mobile phone technology to improve uptake and adherence to standard PMTCT intervention. A cluster-randomized control...
Kizazi chetu kinakabiliwa na changamoto nyingi sana kama Taifa. Tumeridhi taifa ambalo limegawanyika na lisilokuwa na malengo ya pamoja wala maono. Kiwango cha uzalendo wa watu wetu kimeshuka...
Black Diamond has never met Charles Taylor, but she still calls the day the former Liberian president was sentenced for crimes against humanity the happiest of her life.
On Wednesday, Taylor...
Habarini wakuu nimepata taarifa toka kwa mdogo wangu aliyekuwa kwenye usafiri wa treni toka Ubungo maziwa kuja stesheni kuwa asubuhi ya leo kuna mtu sijui ni kutokana na kilevi, alikuwa kalala...
Wanabodi,
Nilikuwa nasoma huu mkasa wa Petreus ambaye alikuwa anachunguzwa na FBI kwa kuwa na mahusiano na mwanamama nje ya ndoa. Huyu bwana mahusinao yake hayakuwa na mtu anayefanya kazi ni mtu...
Tafadhali wana JF jana nilimsikia mwanasheria mkuu wa serikari kuwa ana utumishi uliotukuka. Sijui ni utumishi gani uliotukuka anaousema,kwani jana ileile michango ya wabunge ilidhihilisha kuwa si...
The government will table an anti-drug trafficking Bill in Parliament for a new, tougher law against the vice in the country, Minister of State in the Prime Minister Office (Policy, Coordination...
Ndugu wananchi wenzangu,tunapotoka ni mbali
kuliko tunakokwenda tusikubali kurudishwa
tukarudi tunakotoka,tusimame kidete kwa
mshikamano mmoja,tuwachane na siasa za kizamani
siasa za chuki na...
but i will like you to tell you the reason why am here because i can see that you sound responssible man
if i tell you i will like you to get back to me as we need to know each other more
I know...
MORASI KACHILA
Naitwa Morasi Kachila ni mwenyeji wa kigoma wilaya ya kibondo. Nina miaka 16 nimezaliwa katika familia ya watoto 6 lakini ambao tupohai ni 2 tu mimi na kaka yangu. Napenda...
habari za usiku wadau, leo nimepata e-mail kutoka yahoo na window eti nimeshinda pound laki 8, hii ni sehemu tu ya hiyo e-mail, je huu si utapeli wa kwenye mtandao wadau?
from the desk of the...
Sion anachokiimba, au ameloga apate mil 50? manake naona kama majaji wamepigwa ganzi. japo salama amechana live kuwa haelewi anachoimba.
Akishinda ntajua KALOGA
Dear JF Members!:peace:
Leo natimiza miaka 40 hapa duniani,kinachonishangaza sijisikii kama umri umesogea,kuna sababu nyingi zinanifanya nijisikie kama ndio kwanza natimiza miaka...
Mwenyekiti UVCCM Sadifa ni Jwtz alidondoka katika Parachuti wakati wa Mazoezi Ngerengere na kupoteza fahamu!!!
Alitibiwa lakini alistafishwa na JWTz kwa sababu akili haikukaa sawa !!!
Hilo...
habari wana jamvi,kw wale wakazi wa Dar watumiayo morogoro road polen kwa foleni.
Nimeguswa kuandika hoja hii kutokana na yale niyaonayo kwa macho yangu.
kwanza, matumizi ya malighafi.pita uone...
Ndugu msomaji natenda kuongelea hifadhi hizi katika nyanja kuu nne.
(1) MISHARAHARA
Kumezuka tabia ya managementi ya hifadhi hizi kutoandaa bayroll kwa wakati huku watumishi wao waihishi maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.