Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Return Of Undertaker, Nov 13, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,073
  Likes Received: 6,148
  Trophy Points: 280
  Source gazeti la Majira

  Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

  No comment on that
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3G, ipad 2, ipad2+3G , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung Galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
  So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.
   
 3. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tunaendelea
   
 4. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,219
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Ukiristo si wa watu ila wa Mungu mwenyewe. Huyo amekojolea kitabu cha MUNGU. Mwache Mungu ajitetee mwenyewe. Amen
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,162
  Likes Received: 491
  Trophy Points: 180
  acha wakojolee maana wakristo tuna abudu katika roho na kweli sio kwenye vitabu maana vitabu vinatupa elimu ya kujua mambo
   
 6. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Katika kile kinachoonekana Tanzania kugubikwa na hali ya kutovumiliana kidini KITABU KITAKATIFU KIMEKOJOLEWA HUKO TANGA ili kulipiza kisasi cha kukojolewa quran.
  Huu ni wakati wa wakristo kuonyesha tofauti kwa kutulia na kumuomba Mungu zaidi.
  Source:RFA uchambuzi wa magazeti asubuhi.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,318
  Likes Received: 1,843
  Trophy Points: 280
  Amen.

  Tena hiyo biblia iliyokojolewa wangewapa waiwashie moto. Halafu mkojoaji tunamuombea baraka, akutane na Mungu mwenyewe ili nafsi yake iponywe.
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,103
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Uzuri ni kuwa wenzetu wakristo wana akili timamu!!hivyo mambo kama yale ya mbagala hayatarajiwi hapo!!sanasana huyo mwehu aliyefanya hivyo atajidharau tu mwenyewe na kujiona mpumbavu.
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,512
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Anyee kabisa mpumbavu huyo, wanadhani wakristo watafanya ujinga kama wao,,
   
 10. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwani anajua alitendalo? Asamehewe kabisa.
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  What a shame!
   
 12. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,103
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Next time pakitokea tukio la bible kukojolewa au hata kuchomwa naombeni sana msiandike wala kuripoti popote,mpumbavu mwache na upumbavu wake.
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Biblia hailindwi kwa upanga na wala ukristu hakuenezwa kwa upanga,hivyo aliofanya hivyo anajisumbua!
   
 14. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #14
  Nov 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,860
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  upunguani wa aina ya kipekee sasa Allah ndio kamuagiza hayo katika Quran aibu
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Nov 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,160
  Likes Received: 5,744
  Trophy Points: 280
  Kwa Wakristu "neno" ni zaidi ya kitabu; tunaambiwa katika Yohana 1: kuwa "Neno akataa mwili akakaa kwetu". Neno ni zaidi ya kitabu ni nafsi hai.
   
 16. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,554
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  sisi wakristo hatuna shida 2naangaika kujenga shule na mahospt hatuna muda wa kuandamana
   
 17. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wakristo hawaabudu vitabu bali Mungu katika roho na kweli kama hakinuki kitaendelea kutumika tu tena vizuriiiiiiiii.......kazi kwao wanaoabudu vitabu. Chokochoko kamchokoe pwezaa (waislam) binadamu (wakristo) hutamweza
   
 18. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hata tukienda huko msikitini tutaharibu nn mikeka au kumwaga maji EEH MWENYEZI MUNGU MSAMEHE AJUI ATENDALO
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Muslim hapi ndipo tunapoingia chaka. Tukio la bahati mbaya unaweza kulipiza kisasi??? Naamini tukio la Mbagala it was accidently, sasa iweje mtu tena akojolee Bible???

  Ni ujinga ulikithiri na kumuomba Mungu upumbavu huu ukome akilini mwa watu.

  Tena unaweza kukuta jitu lililokojolea nilitenda dhambi kubwa kabisa.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Thats where people have to clearly see a wide line that differentiate these two groups, Christians and Muslims.
  Kama ni maisha tuna`share mitaa kama kawaida. ,mwenye akili zake anaona kuwa shida ya wenzetu iko kwenye Kinachofundishwa Kwenye dini yao huko msikitini na almadrasa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...