Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Wanajamvi!
Katika matukio yanayoendelea kwenye mkutano mkuu wa 8 wa CCM, Mzee Yusuf Makamba aligeuka muhubiri kwa kunukuu maandiko matakatifu yaliyopo kwenye biblia na misaafu wakati akimuombea kura JK ili wamchague kuwa mwenyekiti kwa kura za ndiyo au hapana. Ndipo waumini wake maliposimama na kupeleka sadaka.