Swali: Mbagala kumelaaniwa?!

Swali: Mbagala kumelaaniwa?!

we hukumbuki kale kanyimbo ka mbagala cha diamond,kaliigwa kakaitwa kafara,,,,ndo haya sasa
 
Ukisikia vioja vya Daslam basi vioja hivyo hukamilishwa na maeneo kama hayo..
 
Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.
 
Huo ni unafiki, mabomu hayajotokea Mbagala hata Gongo la Mboto yalilipuka, kuhusu kukojolea msahafu na kuchomwa makanisa pia sio mbagala tu, kuna sehemu kama Bagamoyo na nyingine nyingi tu msahafu ulikojilewa na Makanisa yamechomwa Zanzibar, kuhusu kukodi Matalumbeta utamaduni huo haupo Mbagala, labda maeneo ya Buguruni, Manzese na maeneo yanayozunguka maeneo tajwa, na kuhusu watu kugandana tukio hilo la Kupikwa halikutokea Mbagala linadaiwa lilitokea Temeke, kwahiyo acha Uzushi labda wewe ndio Umelaaaniwa! Wambagala Uwaache Wapume haaa!
 
Mkuu swala la kukodi matarumbeta lipo nimelishuhudia zaidi ya mara tatu. Mi mwenyewe nakaa chasimba (ahead of Matitu)
 
Mkuu umefanya nimecheka sana, weekend yangu itakuwa nzuri
 
Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.

Hahaha! Naijua hiyo.. Buku 40 tu! Mbona utahama mji

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ilianza Popobawa.

Akatokea Simba mla watu,

Yakaja mabomu,

Mara Msahafu umekojolewa na Makanisa kuchomwa,

Juzi tena watu wamegandana Tigo.

Jamani Mbagala kunanini???

Umesahau pia nyoka wa Kiramba shule ya msingi. Nyoka huyo alivuma sana kwenye magazeti ya alasiri. Kiramba ni shule iliyoko Mbagala Charambe.
Pia huko Mbagala zamani kulikuwa na mtu aliyegeuka nyoka, old timer wataweka mambo vizuri nilipopindisha mambo
 
Mkuu swala la kukodi matarumbeta lipo nimelishuhudia zaidi ya mara tatu. Mi mwenyewe nakaa chasimba (ahead of Matitu)

Sasa swala la kukodi matarumbeta ndio laana? Sema hizo shughuli zinafanywa maeneo mengi tu uswahilini kama wewe mwenyeji wa Dar ( sio wa kuja) utakubaliana na mimi.
 
Mkuu sorry naomba uniremove kwenye tag list yako siitaji kusoma kila news..... i like siasa news...
 
Sasa swala la kukodi matarumbeta ndio laana? Sema hizo shughuli zinafanywa maeneo mengi tu uswahilini kama wewe mwenyeji wa Dar ( sio wa kuja) utakubaliana na mimi.

Taratibu mkuu, mi sijasema ni laana, nimesema ni mambo yanayofanyika maeneo yenye wazawa wengi.
 
NImeshapoa mkuu, lakini si ulikua unaunga mkono hoja ya laana ya Mbagala? But nimekusoma Kamanda!
 
Huo ni unafiki, mabomu hayajotokea Mbagala hata Gongo la Mboto yalilipuka, kuhusu kukojolea msahafu na kuchomwa makanisa pia sio mbagala tu, kuna sehemu kama Bagamoyo na nyingine nyingi tu msahafu ulikojilewa na Makanisa yamechomwa Zanzibar, kuhusu kukodi Matalumbeta utamaduni huo haupo Mbagala, labda maeneo ya Buguruni, Manzese na maeneo yanayozunguka maeneo tajwa, na kuhusu watu kugandana tukio hilo la Kupikwa halikutokea Mbagala linadaiwa lilitokea Temeke, kwahiyo acha Uzushi labda wewe ndio Umelaaaniwa! Wambagala Uwaache Wapume haaa!
Na hiyo ya simba mla watu?!
 
na daladala za mbagara watu wanapitia madirishani...............
"tatizo kwetu mbagaraaaa hapa nyumba hapa jararaaaaaaa".........juuuz singing jamaniiii
 
Back
Top Bottom