Kwa mara nyingine tena katika hali inayo onekana ya kutaka kuleta machafuko hapa nchini kwetu,leo huko mkoani TANGA kaibuka kijana wa ki-islam alie kojolea BIBLIA kwa kile kinacho onekana kulipiza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mhashamu Baba Askofu Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga baada ya...
Heshima na murua wa mtu hujulikana kutokana na tabia yake na wakati mwingine hata mavazi na namna ya uzungumzaji wake. Moja ya mazoea mabaya ni kukojolea kuta za nyumba. Kuna watu tena hata sio...
Calvin Francis afariki katika ajali ya gari aliyokua anaendesha maeneo ya masaki karibu na Colleseum Hotel akitokea Coco Beach..anatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Rombo, Kilimanjaro kwa...
Jk katika hotuba yake ya kuhitimisha,amesema watu wa upinzani wanasema mambo mengi hivyo ni jukumu la wana ccm kukanusha, polisi si suluhisho.
Polisi mmepewa ujumbe ulio wazi, kila mara...
UTATA umegubika afya ya Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo huku taarifa zikidai kuwa anaumwa na anapatiwa matibabu nchini Uingereza.
Wakati hali ikiwa hivyo kwa...
Jamani hivi ni democrasia gani ccm wanatuonyesha ya kupigia kura ya ndio au hapana katika dunia hii. Hebu tujuzane katika dunia ya leo kama kweli huu mfumo bado upo.
Bibi kakwera katapeliwa na matapeli baada ya kumuombwa lifti , na mama aliyejitambulisha mama kimaro. Baada ya kuangalia alikuta pochi yake iliyokuwa na vifaa vya dhahabu na fedha ,havionekani...
Sasa binadamu tumekuwa wanyama, jana nimepita maeneo ya keko machungwa Dar nikakuta wanawake ambao wanajishughulisha na uuzaji wa samaki wa kukaanga. Wanawatoa feri na kuja kuwakaanga na kuwauza...
meeting begins
By the CNN Wire Staff
updated 9:20 PM EST, Thu November 8, 2012
How China's leadership is chosen
STORY HIGHLIGHTS
Thousands of delegates gather in Beijing for the...
Toka jana jioni, mida ya saa 10, maji yamekatika maeneo ya Makokora, Usagara na Sahare, nini tatizo? Wenye taarifa tupeni au mgao wa maji kama umeme maana muda huu umeme nao umekata. Mungu tusaidie.
Ndugu zangu tungeweza kuwa na viongozi wa kweli na wenye uchungu na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo. Hebu tuangalie mfano wa wenzetu,mkurugenzi mkuu wa BBC amewajibika kwa kosa lisilo lake...
Vijana wawili wanaodaiwa kutoka mombo wamepigwa hadi mmoja kupoteza fahamu tena wakiwa kituo cha polisi hapa hapa lushoto huku polisi wakishindwa kuamua la kufanya baada ya vijana waendesha...
Naunga mkono tamko la chadema kuwa mgogoro unaoendelea sasa hivi hauwezi kumalizwa kwa virungu, na mabomu,
naiomba serikali yetu sikivu ikae na wahusika waweze kuongalia hoja zao kama ilivyokuwa...
Ushauri wangu, wakati umefika wa kutenganisha kofia ya urais na uenyekiti wa chama kwa sababu zifuatazo;
-utawala wa JK umekumbwa na madhaifu mengi ya kiuongozi na kiutendaji na hivyo kuathiri...
Wakuu wa JF:
Taarifa nilizozipata za uhakika ni kwamba wale madiwani wawili wa CDM Dan Kalungu wa kata ya Kirumba na Josephat Manyerere wa kata ya Nyakato leo wamehukumiwa na kifungo cha miezi...
Wanajamvi!
Katika matukio yanayoendelea kwenye mkutano mkuu wa 8 wa CCM, Mzee Yusuf Makamba aligeuka muhubiri kwa kunukuu maandiko matakatifu yaliyopo kwenye biblia na misaafu wakati akimuombea...
Kuna watu,wafanya biashara ndogondogo,almaarufu machinga, wanauza kofia (mzula) zenye rangi ya bendera ya chadema, zina alama na nembo ya chama ya vidole viwili (V), wanauza kati ya tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.