adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,949
- 5,399
Moto mkubwa unawaka muda huu hapa katika ghala la kampuni ya daftari na vitabu (simba)iliyopo barabara ya nyerere eneo la vingunguti pembeni ya kiwanda cha pepsi na living room. Jitihada za kuzima zinaendelea vikosi cha zimamoto cha jiji n ultimate security. Chanzo hakijafahamika. Hasara ni kubwa sana kwani mashuhuda wanasema moto umeanza tangu saa 5:30 usiku hadi muda huu saa 9 bado unaendelea kuwaka.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
