Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,473
- 17,979
Kuna watu,wafanya biashara ndogondogo,almaarufu machinga, wanauza kofia (mzula) zenye rangi ya bendera ya chadema, zina alama na nembo ya chama ya vidole viwili (V), wanauza kati ya tsh 2000-3000, hoja hapa je chama kinafaidika na biashara hiyo? Au ni watu wajanja wanajipatia fedha kupitia mgongo wa chama. Viongozi wakuu wa chama wanalijua hili!?