Mageuzi usiniguse nimeolewa mume wangu ccm

Mageuzi usiniguse nimeolewa mume wangu ccm

ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
1,366
Reaction score
599
Kuna kawimbo vick kamata anaimba Kizota kanaendelea sasa hivi.....mageuzi usiniguse una shombo mimi nimeolewa CCM...NINA AKILI TIMAMU MAGEUZI USINIZOEE....
Vipi nani kasikia wimbo huo ,na nini maoni
 
anamaanisha nccr mageuzi walimtaka ahamie kwao? au anamaanisha nn?
 
Hajaenda msibani kumuombeleza baba yake,Askofu Balina?kweli watoto wa mapadri na maaskofu upotea bure kwa kukosa malezi ya baba!!!!
 
Anaogopa nini kusema ameolewa na dhaifu
 
...kazi ya mbunge wa kuteuliwa(viti maalum) ni "kumburudisha" aliyemteua...VICK ENDELEA KUWAPA WAZEE "KIBURUDISHO" COZ NDO KAZI YAKO NA HAKUNA UNALOLIJUA ZAIDI YA KUBURUDISHA...
 
Sijausikia, lakin kama nimekuelewa, anamaanisha upinzan hasa CDM, lakin bila hata kufanya tafakari vizuri utakuwa ni wimbo wa vijemba kwa CCM, maan yake pia ni kwamba ameolewa na ccm chama kisichotaka mageuzi;

Maneno ya kuyachambua hapa ni:nimeolewa( angalia sifa za kuolewa, hana uhuru wa kuamua mambo yake, kwa maana nyigine anaacha mwingine afikiri badala yake/mume)

mageuzi usiniguse: maana yake ni chama kisichopenda mabadiliko na muhusika mke amelizika tu



 
Hanisumbui huyo chakula cha mr mdhaifu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hasumbui kichwa huyo kwanza ni mburula alafu ni chakula cha mr mdhaifu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimeshangaa kuona hata madume yakiimba "Mume wetu CCM!!!!" NIsura nijinyonge> Inawezekana CCM kuna mashoga wengi sana.
 
Hakuna utumwa mbaya kama huu wa fikra hasa ya mwenye njaa,nilikuwa nafuatilia ni aibu Dokii anakata kiuno mbaya,akaja dada wa segere naye akawekewa pesa kwenye matiti na mwanaume,vicky kamata ndo usiseme halafu na mibaba ikawa inaimba eti nimeolewa na ccm,hii njaa ni mbaya,capt. John komba naye akakumbushia ule wimbo wa ccm yajenga nchi karibu ni zime TV nikabadilisha channel inakera.
 
Hajaenda msibani kumuombeleza baba yake,Askofu Balina?kweli watoto wa mapadri na maaskofu upotea bure kwa kukosa malezi ya baba!!!!

kashfa kama hizi ambazo hazina uthibitisho hazivumiliki ,zinachochea hasira za kidini na chuki namshangaa sana moderator kama kweli anatimiza wajibu wake ipasavyo. Vigezo vya kutoa BAN ni double standardised
 
Kuna kawimbo vick kamata anaimba Kizota kanaendelea sasa hivi.....mageuzi usiniguse una shombo mimi nimeolewa CCM...NINA AKILI TIMAMU MAGEUZI USINIZOEE....
Vipi nani kasikia wimbo huo ,na nini maoni

huyu mageuzi hayaachiki tu pamoja na kupigisha nje?
 
Sasa haya yanasaidia nini kuhakikisha CCM hairudi madarakani 2015 hayo mambo ya Vick Kamata ya kujadiliwa na watoto wa Secondary.
 
Njaa, isikie njaa, chezea kitu inaitwa njaa! Vicky Kamata lazima aimbe wimbo huu unaotia kichefu chefu kwa wengine sababu ni kweli ameolewa na CCM. Hapo hakuna ubishi, bila CCM ubunge wa kuteuliwa angeupata wapi?... NO! bila kulala na Doctor Dhaifu, ubunge angeupata wapi? Chezea njaa wewe! Midume mizima inaimba imeolewa na CCM! Kazi kweli kweli!
 
Hakuna utumwa mbaya kama huu wa fikra hasa ya mwenye njaa,nilikuwa nafuatilia ni aibu Dokii anakata kiuno mbaya,akaja dada wa segere naye akawekewa pesa kwenye matiti na mwanaume,vicky kamata ndo usiseme halafu na mibaba ikawa inaimba eti nimeolewa na ccm,hii njaa ni mbaya,capt. John komba naye akakumbushia ule wimbo wa ccm yajenga nchi karibu ni zime TV nikabadilisha channel inakera.

Uyo Dokii nilivyomsoma amekukuja hapo dodoma kufanya biashara nyingine zaidi ya mziki.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom