Amani Mrimbo
Member
- Nov 23, 2010
- 64
- 9
Tutofautishe kati ya HAKI ZA KIJINSIA NA USAWA wa kijinsia!
Mimi Nakataa hakuna USAWA WA KIJINSIA!
Mimi Nakataa hakuna USAWA WA KIJINSIA!
Tutofautishe kati ya HAKI ZA KIJINSIA NA USAWA wa kijinsia!
Mimi Nakataa hakuna USAWA WA KIJINSIA!
Kwani wewe Amani usawa wa Kijinsia umeelewa nini? Naomba nijulishe kabla ya kusonga mbele.
Usawa unao ongelewa hapo ndizo hizo hizo haki.
thanks: jinsia ni maumbile yanayotutofautisha kati ya wakiume na wa kike, HAYO HAYANA usawa!
Lakini haki ya wakiume au wakike kumiliki, kusoma.kuajiri.kuajiriwa,kuamua nk ipo palepale!
Ila usawa wa kuoga kulala pamoja haupo ila kwa mikataba maalum, kama vile ndoa!
long time no see my dear hujambo?Sasa nimekuelewa. Hapo unazungumzia 'Equality' na 'Equity'.
Ofcoz hiyo ni wazi kuwa hakuna haki sawa kwa ujinsia ingawa bado watu wanataka kulazimisha... Tena hasa wanaume ambao wanataka kuwa wanawake ili wawe na wanaume (hapa nimezungumzia on the basis ya sex orientation).
Hata 'usawa' na 'haki' kati ya mwanamke na mwanaume; hata tujitahidi namna gani HAIWEZEKANI kuwa zinaweza zikafaulishwa na kuwa sawa sawa kwa wote. Lazima kuna mahala pataelemea tu.
Usawa ni msingi na muhimu, ila kuna mahala hufika unakuta it is not always 'sustainable'.
hashycool, acha ukorofi bana hebu mjibu Amani! Lol. (I believe you are well and good broda)
long time no see my dear hujambo?