odinyo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 429
- 109
jana katika mkutano mkuu wa CCM watoa mada mara kwa mara hasa wale wa upande wa ZNZ walikua wakieleza ya kua Uamsho wameanzisha vurugu ZNZ na kwa upande wa bara ex Nape Nnauye nae alikua anaimba ya kua baada ya kupata uongozi basi uamsho bye bye.Sijui kama ninyi waTZ wenzangu ya kwamba mmeona ya kua kuna siri imo ndani ya uanzishwaji wa uamsho na malengo yake kwn siasa ya nchi yetu na hasa ktk kuizuia CCM. Wenye kuyaona hayo fungukeni maana wakati kila mwanaCCM alivyokua anaisema CHADEMA tunaelewa. Hili la uamsho mmmh kuna siri humu