Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,062
- 168,720
Kufuatia kujiuzulu kwa mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji la BBC George Entwistle baada ya kushika wadhifa huo kwa muda wa wiki nane tu, leo maafisa wengine wawili wakuu wa shirika hilo wameamua kuacha nyadhifa zao.
Bwana Entwistle alijiuzulu Jumamosi kufuatia kipindi kilichopeperushwa kikimlaumu kimakosa mbunge wa zamani wa chama cha Conservative kwa madai ya kutomasa watoto.
Kaimu Mkurugenzi Tim Davie amesema mabadiliko yatafanyika katika usimamizi kwenye shirika hilo. Peter Musembi ana maelezo zaidi.
[video]http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2012/11/121113_kashfa_bbc.shtml?bw=bb& mp=wm&bbcws=1&news=1[/video]