Wezi/Vibaka etc: Kweli tusiwachome moto??

Wezi/Vibaka etc: Kweli tusiwachome moto??

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Kuna jamaa ni mwanafunzi wa PhD. Anafanya PhD yake UK na hapa TZ. Akiwa katika mwaka wake wa mwisho wa kumaliza PhD yake, alipaki gari maeneo ya mwenge, Baada ya dakika kama 20 kurudi akakuta begi lake lenye vitu muhimu kwa ajili ya shule yake washenzi wameshaondoka nalo. Sasa yupo kwenye wakati mgumu wa kuanza upya kazi ambazo zingine alikuwa ameshazimaliza.

Sasa ni kweli hawa wezi/vibaka tusiwachome moto pindi tunapowakamata!!!.
 
ni wewe nini mkuu?i can see you between the lines..pole
 
kuna jamaa ni mwanafunzi wa phd. Anafanya phd yake uk na hapa tz. Akiwa katika mwaka wake wa mwisho wa kumaliza phd yake, alipaki gari maeneo ya mwenge, baada ya dakika kama 20 kurudi akakuta begi lake lenye vitu muhimu kwa ajili ya shule yake washenzi wameshaondoka nalo. Sasa yupo kwenye wakati mgumu wa kuanza upya kazi ambazo zingine alikuwa ameshazimaliza.

Sasa ni kweli hawa wezi/vibaka tusiwachome moto pindi tunapowakamata!!!.

haina haja mkuu. Huwezi kumtoa roho mtu tena kwa kumchoma moto kwa sababu ya wizi. Dawa yao ni kuwakata mikono tu kama sharia inavyoelekeza. Sheria za kutungwa na watu hazina faida yoyote.
 
pole yake inauma sana!!!

ila uhai ni expensive kuliko hizo document zilizoibiwa.

tatizo sheria hazitekelezwi ndo maana tunafikia huko, ila sio njia muafaka
 
Back
Top Bottom