Obama nguvu ya hoja dhidi ya Romney policy hoja ya nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama nguvu ya hoja dhidi ya Romney policy hoja ya nguvu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Oct 27, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  The message speaks volumes. Romney is done. He should kiss presidency.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Jambo la kuhuzunisha ni hili huyu mgombea wa Republican pamoja na uzoefu wa kuwa Governor bado anafikiri wingi wa meli na vifaa vingine vya kivita ndio kukamilika kiulinzi kwa mtindo wa karne iliyopita. Bado anaishi karne ya 20 wakati karne ya leo ni teknolojia mpya.
   
 4. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,211
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  While I like Obama, I abhore his stand on abortion and same sex "marriage". On that alone, he might lose the election. And I am not sure how I would feel about that.
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hata hivyo hana makosa hasa ukiangalia maisha ya wamarekani na materialism and they way they are used as consuming machines. Kwa mtu conservative kama Romney maisha ni kujirundikia vitu badala ya kuangalia kama unavihitaji. Hivi umewahi kufikiri ni kwanini kumilki silaha kwa wamarekani ni chanzo kizuri cha ukosefu wa usalama badala ya kuwa chanzo cha usalama? Romney au Moron kama watani wake wanavyomuita hana tofauti ya Joji Kichaka zaidi ya majina tu,
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Obama pamoja na kwamba yeye mwenyewe hakubaliani na hili la abortion and same sex marriages hawezi kwenda kinyume cha policy ya chama kilichomsimamisha kupeperusha bendera ya Democratic katika kinyang'anyoro cha Urais. Vivyo hivyo mpinzani wake lazima atetea policy ya matajiri wa chama chake.

  Wengi huwa tunaelekea kumwandama mgombea kuhusu mambo haya bila kuangalia policy ya chama kinachomsimamisha. Ukiamua kuwa mgombea wa Chadema lazima ukubaliane na people's power la sivyo si uwanja wako rudi CCM. Hali kadhalika kama unapeperusha bendera ya jembe na nyundo uwe tayari kutetea kubomoa uchumi wa nchi kwa kutumia zana hizo kwani ukijenga utetezi wa mali ya umma kulindwa utakuwa upande wa Chadema.

  Obama alishatamka wazi kwamba binafsi hakubaliani na hayo ila analazimika kutetea matakwa ya chama chake kilichompa nafasi ya kuongoza nchi.
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Mwalimu Moshi, mimi ninakuelewa sana unavyosema kwani kila jumapili sisi askofu wetu hutuma ujumbe kwenye makanisa yote ya jimbo lake kuhusu message hizo. Nilichukua muda mrefu sana kuchambua siasa za marekani na imani yangu ya dini nikaangalia mambo mawili yafuatayo:

  (a) Marekani ina dini nyingi zote zikiwa na imani tofauti, kwa mfano dini ya Romney inamruhusu kuoa wanawake wengi tu, wakati dini yangu inafundisha kuwa ndoa ni ya mke mmoja na mme mmoja. Waislamu waliopewa ukimbizi kutoka Somalia na kuja na familia zao, wengi wao walikuwa na wake zaidi ya mmoja kwa sababu dini yao inawaruhusu, lakini sheria ya marekani inazuia ndoa za zaidi ya mtu mmoja.

  (b)Dini yangu inanifundisha kuwa alichounganisha Mungu, binadamu hawezi kutenganisha, lakini sheria ya marekani inaruhusu ndoa kuvunjika wakati wowote, na kuna dini nyingi sana zinazoruhusu wanandoa kutarikiana.

  Kutokana na hayo ndipo nikakubaliana na Obama kuwa kila mtu na imani yake, serikali haiwezi kumlazimisha mtu namna ya kutumia mwili wake mradi asifanye hadharani mambo ambayo jamii haikubalinai nayo. Kwa hiyo kuoana wanaume wawili wakaishi pamoja siyo kosa, ila labda nigependa kuona serikali inakemea wanaume wawili kupena mabusu ya kimapenzi hadharani, au kuzuia watu wote wasifanye hivyo kama ambavyo kweny tulikuwa kutenganisha mambo ya chumbani na mambo ya hadharani.

  Kuhusu abortion, ninajua inaumiza watu wengi wa dini mbalimbali lakini kwa vile nchi hii intaka kila mtu abebe mzigo wake, inakuwa ni makosa kumzuia mwanamke kutoa mimba ambayo kapata bila kutegemea na wala hana uwezo wa kuilea mimba ile na kumltea mtoto atakeyzaliwa. Kuna contradiction kubwa sana marekani ambapo wanaojidai kuwa watu wa dini wa kuzuia utoaji wa mimba ndio hao hao pia hawataki kuona serikali inawasidia watu wasiokuwa na uwezo!
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Not so simple! Obama is still swimming in a bowl of hot soup; last minute decisions are likely to surprise Obama! Sometimes by unbelievable margins of between 100 to 200 votes only out of seven or more millions votes. You must learn to stay focused towards realities.
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ukweli wa suala hili ni gumu na vigumu zaidi kuzuia kwa vile ni wachache wanaoonyesha hadharani kuliko wengi ambao hufanya kwa siri. Afrika tunaweza kuona kama kitu hiki hakipo kwa sababu ya mazoea ya sirini ingawa ukweli mambo haya hufanyika ulimwenguni pote.

  Nachukia na sipendi kabisa kushuhudia mambo haya ya same sex and abortion, lakini ikumbukwe kuwa wenye dhamiri nzuri hupenda uwazi kuliko kuudanganya umma. Hata itungwe sheria haitazuia jambo hili kwa vile ni mambo ya wawili peke yao ndani ya nyuma kama ulivyosema mdau
  Kichuguu ni bora tu kuwa na utaratibu wa mambo yao yaishie ndani badala ya hadharani.

  Ukiangalia hasa hawa gays na lesbians, binafsi nachukizwa sana na gays ambao hupendelea kuonyeshana mambo nje na kuiga tabia za kujiremba na miondoko, pia mivao kama wanawake, inachefua sana na huwezi kuwa wa ujasiri wa kutazama zaidi ya mara moja unapowaona na kuishia kuona kana kwamba labda ubongo wao ingekuwa mashine ya kawaida kuna uwezekana bolt fulani imelegea na hivyo inahitajika wrench kukaza kidogo nati yake huenda hali itarudia kuwa sawa.

  Lesbians wali wengi ni wastaarabu sana na wako very strictly and smart kutoonyesha mambo ya mahaba hadharani. Hali yao ya kuiga tabia ya kiume na mivao yakiume haichukizi kwa sababu mvao na hata mfumo wa tabia za kiume ni uhodari, utendaji, uwajibika, staha, heshima, ukakamavu nk. Zaidi sana hawapendi kabisa kuonyesha dalili za mambo ya mapenzi ila wawapo katika kona zao ambazo hawaonwi na watu wengine. Makazini utapenda sana kufanya kazi na lesbians, hawana choko choko, mikwara ya kike, miondoko wala nini kama walivyo wanawake wengine kuvutia wanaume bali hujiona kama wanaume. Kwa ujumla hawana ushawishi wa aina yo yote kwa wanaume katika mambo yahusuyo mapenzi.

  Kwa vyo vyote tunapoliangalia jambo hili tuwe wapana katika uelewa, tusiwe haraka mno kutoa kauli kwa kipimo cha mila na tamaduni za kiafrika, tujue kule wana utamaduni wao. Tangu utoto wangu nimeshuhudia watu wakitoa mimba kwa kutumia mitishamba, na wenye elimu na nafasi kutumia njia za kimaabara. Hivyo ina maanisha si kitu kigeni ingawa ni kinyume cha haki za biandamu.
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  That is the way you see things though we can't all share same way of conceiving things. It is upon Americans to decide although chances are that the chance for Romney to clinch presidency is slim.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hoja nyingi za msingi zinaonyesha wazi mpinzani wa Obama ni mfupi hawezi kufikia Obama alipo. Ndio maana ya picha ya hapo juu hoja moja wapo kwa mtazamo wa mpinzani wa Obama ni kwa mtazamo wa karne zilizopita badala ya ulimwengu wa leo. Mtu hawezi kuwa perfect for 100% lakini pamoja na mapungufu hayo anao uwezo mkubwa to lead American people.
   
 12. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Anyways, we will see who is capable of leading and delivering American people btn Obama and Romney.
   
 13. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  What saddens me the most is when Obama took Office he actually had high hopes and dreams for America. He had no idea that winning the presidential race was only half the battle.

  Once elected, Congressional Republicans deliberately sabotaged his every move. Most of the bills that Obama proposed were rejected by Congress unanimously...Senate GOP leader Mitch McConnell even boasted that the Senate's
  "single, most important goal was to make President Obama a one-term president." I am saddened that Congress was so fixated on blocking Obama, that they compromised the U.S. Constitution that they are supposedly founded upon. Not to mention, tax dollars, time and effort and their own morals and beliefs...

  Obama did not have a clean and equal slate right from the start. Yet..still with extreme opposition in Congress, he managed to stimulate the economy.

  I wonder what great heights could we as Americans have soared if Congress had of supported the president rather than waste unknown amounts of energy opposing him...GOP strategy: Block Obama, then blame him...
   
 14. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Despite the fact that I do not concur with guy marriage and abortion, Americans have their culture which has shaped them in that regard if we look at those aforementioned two issues in African or Tanzanian perspectives thinking that the Americans think on the same way like us .. we have missed it out! Obama will win regardless of those bad things according to the Holy Bible (I am Christian) and our culture! Americans Americans voted in Clinton regardless of his sexual scandal with Monica Lewinsky!!
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ndivyo siasa za Marekani zailivyo, kili rais mchaguliwa afanikiwe katika malengo yake anatakiwa awe na safu katika congress yenye kuridhia vinginevyo safu kubwa ikiwa ni ya upinzania basi ni dhahiri kuruka kihunzi hicho ni just night mare dream.

  Lengo la upinzani ni kudhoofisha malengo uliyojiwekea ili kuonyesha kufanikiwa, na pale malengo ya kushinikiza miradi na mipango yako isifanikiwe maana yake upinzani umefanikiwa ili kujenga hoja ya kushindwa uliyoahidi ingwa background ya kilichosababisha ni wao kufanya blockage.

  Hayo yalimpata Bill Clinton, George Bush na sasa Obama. Obama amefanikiwa jambo moja kubwa kuhusu bima ya afya kwa wamarekani wote ingawa bado kuna jitihada za hapa na pale kupinga kabla hawa Republican hawajazidisha idadi ya wajumbe wao Congress. Unaona bill ya immigration imegonga mwamba kwa vile ilicheleweshwa kiujanja ili idadi ya republican iongezeka ili kumthibiti Obama.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Unfortunately, Obama has not reminded Americans that they would have been in a different place if Congress had not deliberately blocked his initiatives. Most importantly he would have used that fact as a case for his reelection to break the would be precedence for the congress blocking the new president's initiatives to make him/her loose re-election.
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  na kuna african americans who are voting for romney hapo yaani ndio hua sielewi mentality zao kabisa
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwa black american si shangai kwani kuna baadhi wakishaona mwenzao kapaaa ni adui bora kuhemea ombaomba kwa wazungu, wananunulika kilaini mno.
   
 19. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,211
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Mkuu Kichuguu! Naona nimwige Mzee ES (where is he?) niseme "heshima mbele mkuu!"

  Sisemi iwe kosa kisheria watu wa jinsia moja "kuoana". Ingetosha Obama ashikilie msimamo aliokuwa nao mwaka 2008 kwamba ndoa ni kati ya mwanamke na mwanamme. Kosa lake ni kukubali kubadilisha definition ya "ndoa".

  Kwenye abortion ni kwamba hakuna mtu mwenye haki ya kutoa mimba na kuua mtoto tumboni. Lazima haki za vichanga zilindwe na serikali. No one has "freedom to choose" to do that which is evil.

  Nadhani Obama is up against God. If that is so, then he stands no chance.
   
 20. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wonderful analysis mkuu!
   
Loading...