Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna tetesi kwamba kuna waraka mpya unaoanza kutumika mwez desemba, jaman wadau mlio karibu na hazina na utumishi tunaomba taarifa kamili juu ya tetesi hizi
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hili tangazo lilikosolewa mno kwa kutumia lugha isiyo na ustaarabu, likarekebishwa lakini bado lina tatizo kubwa, limekosa uzalendo pale masanja mkandamizaji anaposema hakuna kitu cha bongo hapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hapa Makamba umenena ulikuwa wapi toka mwanzo
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia maoni mbali mbali kuhusu fujo zilizotokea Arusha, wachangiaji wengi wamekuwa wakilaumu polisi tena bila kuficha ushabiki wao kwa CDM. Binafsi mimi si shabiki wa chama...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Taarifa toka kwa wadau walioko Ngara ni kuwa kuna wakimbizi zaidi ya 20 wameingia kijiji kilichoko wilayani Ngara mpakani mwa Rwanda na Tanzania. Taarifa zaidi zimedokeza kuwa wakimbizi zaidi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Alienda kukamata mhalifu kata ya Malangali, taarifa zaidi na jina lake na kituo chake cha kazi tutakuletea. Tukio hili limetokea jioni hii
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa Watanzania, hivi karibuni kimefunguliwa kiwanda cha kutengeneza spiriti katika eneo la Kifaru,Mwanga Kilimanjaro.Kwa wanaopita na mabasi kutoka Dar kwenda Arusha nadhani mnakumbuka harufu...
1 Reactions
20 Replies
50K Views
Moto mkubwa unaendelea kuteketeza nyumba maeneo ya tangi bovu .Magari ya zimamoto yamefilka lakini yameshindwa kudhibiti Source :Radio1 sterio
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Msaada kwa wale wenye orodha ya waliotunukiwa Nishani mbalimbali na Mh. JK sherehe za miaka 51 ya UHURU .... nilikuwa naomba waiweke hapa pamoja na sifa zao....
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Nipo hospitalini kwa ajili ya Kuonana na Doctor. Kama dakika kumi hivi hazijapita, watoto zaidi ya kumi wamekuja kuchukua dawa za UKIMWI. Wengine hawajasindikizwa na wazazi wao kama watatu hivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria Mikutano ya...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Halo jf members, Unadhani nini kifanyike ili Gazeti la Mwanahalisi litoke kifungoni. Mwanzoni lilifungwa kwa siku 90 likafunguliwa, sasa hivi kifungo kimekuwa kikubwa zaidi( mpaka sasa takribani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Waliopata kikombe cha Babu wa Loliondo wazidi kupoteza maisha. Utafiti uliofanyika wa idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ukimwi ktk Wilaya na Mkoa wa Geita inasemekana imeongezeka kufuatia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanafahamu haya waajiri wetu wababishaji wanaodandia , sababu za watu za kutoajiri kwa mbwembwe kumbe nyingine hazi apply hapa kwetu. The Lack Of Qualified Job Candidates Is A Myth...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habarini ndugu zangu wa JF, leo nilikuwa natembelea guiness book of records kwenye website yao nikaona kwamba the oldest person on earth ana miaka 115,ila nimeshtuka sana,maana hapa Tanzania...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Please share this on your fb/twitter.. lets challenge the stereotype.. http://youtu.be/qSElmEmEjb4
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Habari! nimetupia huku nikijua serikari yangu sikivu upitia sana jukwaa hili mara kwa mara...... 1. Zimebaki siku chache sana kuingia digital, nakatika kujaribu kudadisi watanzania wachache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tcra ni chombo cha kusimamia mawasiliano nchini yakiwemo makampuni ya simu za mikononi, wadau inakuwaje mwananchi wa kijijini akinunua kifurushi cha kuongea anakatwa pesa kwa kupewa MB za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WHOM SHOULD WE BELIEVE, FORBES or VENTURE AFRICA? While Venture Africa claims that the richest black woman in the world is Folorunsho Alakija, a 61 year-old Nigerian fashion designer and oil...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taa hizi za kuongozea magari huwa zinanichanganya sana, utakuta taa nyekundu magari yanapita tu, ukisimama unakuta hamna aliyeruhusiwa. Sijui ni mataizo yangu au zimekuwa programmed vibaya
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…