Nimeangalia taarifa ya habari leo saa mbili ucku. Nimestushwa na kilichotokea. Ni kwamba marehemu alikuwa anatumia kadi ya mtu mwingine ambae ni member wa nhif. Mtumishi wa nhif anaongea tena kwa jazba kuwa maiti haitatoka hadi mwenye kadi atokee. Hv ana akili timamu? Nyie nhif ni daladala inayochukua abiria isio na abc zao? Huyo member hana mwajiri? Kwa nn msiende kumpata kwa mwajiri! Hii ni changamoto kwenu pia. Mbona atm card haxigushiwi? Hali kadhalika driving licence na passport? Basi muajiri watu wenu kwa ajili ya security. Hivi ktk mkataba wenu na members kuna sehemu mmebainisha kuwa mtataifisha mgonjwa au maiti pindi pakiwa udanganyifu? Baba naona umeibiwa na ww mwenyewe ukawa hakimu. Utazika mwenyewe asipojitokeza? Pia unapenda sn media we mwamoto. Na kuna siku nimekusikia unapayuka clouds kwa ishu ambayo ni ya members nchi nzima. Hv kijijini kwenu au wilaya unayotoka clouds inasikika? Kasome communication skills na acha kukurupuka. Ht la leo hikupaswa kuzungumza wewe.