Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 712
Morning!
Rais Kikwete anatarajiwa kuwaapisha maofsa wapya wapatao 192 hapo kesho, TMA, MONDULI.
Maofsa hao watapata "commision" yao kesho tarehe 15-12-12, baada ya kufaulu mazoezi ya vitendo na nadharia kwa muda wa miezi tisa.
Pamoja nao kutakua na maofsa wanaotoka nchi mbalimbali africa ambao nao watamaliza kesho lakini hawatakula viapo kwani viapo vyao vya utii kwa nchi zao wataenda kuvinena mbele ya marais wao.
Nchi hizo ni pamoja na kenya, rwanda, uganda, burundi na shelisheli.., pia kutakua na maofsa cadet wa jeshi wa jwtz watakaokula viapo kesho ambao walisomea vyuo vya nje e.g sandhusrts, UK, hawa watakua 16
si vibaya kuwapongeza vijana hawa kwa uvumilivu na uwezo wao mkubwa waliounesha kipindi chote cha mafunzo,
By the way, its a beatiful chilly morning huku arusha,
kwa wale waliokua wanaulizia lini tena wanaajiri maofsa, ceteris peribus ni january
Kikazi zaidi, MOSHE DAYAN!