Hobby au kichaa!

Hobby au kichaa!

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,710
lightgs44550.jpg
Hiyo ni picha ya nyumba ya mama mmoja ambaye ameamua kupamba nyumba yake kwa ajili ya Krismasi. Si kawaida.
Chanzo: Internet.
 
Nilisahau kuweka link. Go to [video]http://ca.news.yahoo.com/video/ditto-christmas-lights-spread-neighbors-064000279.html[/video]
 
Nilisahau kuweka link. Go to[video]http://ca.news.yahoo.com/video/ditto-christmas-lights-spread-neighbors-064000279.html[/video]
 
BABA, si unajua wenzetu wakipenda kitu wanavyojali,nadhani pia kwa vile ni majira ya baridi na christmas ndio hiyoo wamefanya kama ni utamaduni fulani hivi,kwa wale wadau ambao wako pande hizo,watatujuza zaidi.
 
Sio kichaa wala nini, kwao imeshakuwa sehemu ya utamaduni wao.
 
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 
Back
Top Bottom