Natafuta nyama pori

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,903
687
wakuu mi nipo DSM nataka kula nyama ya porini kama ya swala au nyati au mnyama yeyote wa pori anayeliwa na jamii ya Kitanzania.

naomba mwenye kujua inapouzwa hapa town anipe msaada. ila nahitaji iwe mbichi.
 
Nadhani utakuwa unawatafutia watu matatizo maana hii kitu ukikamatwa unauza,ni balaa.Nahivi sasa maliasili kwenyewe kuna waka moto kila kukicha.
 
Nadhani utakuwa unawatafutia watu matatizo maana hii kitu ukikamatwa unauza,ni balaa.Nahivi sasa maliasili kwenyewe kuna waka moto kila kukicha.

niliwahi kusikia eti kuna maeneo inauzwa kihalali ila sijui ni wapi. sina lengo la kuwatia watu matatizoni. unajua JF ni zaidi ya Google kwa sisi wengine.
 
Pale Dar Live wanauza nyama ya swala,ila hilo suala la kutaka ikiwa mbichi nadhani ni makubaliano yenu!
 
piga no hii. 0754254188.utapata nyama ya kuchoma au mbichi.maeneo ya kituo cha africana mbezi beach.wahi fasta msimu wa kuwinda unaisha 31 dec.ipo sehemu nyingine karibu na gate la bahari beach lakini pale ni ya kuchoma tu.
 
Kama unahamu sana Na nyama ya pori nakushauri kaombe kibali cha kumiliki silaha aina ya shotgun ya kuwindia.
Baada ya hapo unaomba kibali cha kuwindia Na utapewa idadi na aina ya wanyama utakaoruhusiwa kuwinda kwa kipindi fulani. Ila tu hutaruhusiwa kuwinda nyara za taifa kama vile tembo
 
Bitabo mimi ninafahamu na jana nilinunua ya nyati iliyo kaushwa....ila kukulengesha.....still downloading................please wait........mpaka unihakikishie wewe siyo kagasheki!!
 
Last edited by a moderator:
Mdau tunashindwa kujua hiyo nyama pori unaitafutaje kwani hujaweka mambo wazi.

Ila kama ni ya kula basi breakpoint sayansi waweza toa hamu yako!
 
Wasiliana na Ezekiel Maige mwambie ''mzee nataka kuchangamsha taya na nyati''
 
Bitabo mimi ninafahamu na jana nilinunua ya nyati iliyo kaushwa....ila kukulengesha.....still downloading................please wait........mpaka unihakikishie wewe siyo kagasheki!!

Mkuu natafuta kama kilo 5 tu ya kula na familia wala sina mpango wa kuungana na Kagasheki au Maige wala sitaki kwenda kwa Kinana.

Download then unisendie ujumbe
 
Last edited by a moderator:
piga no hii. 0754254188.utapata nyama ya kuchoma au mbichi.maeneo ya kituo cha africana mbezi beach.wahi fasta msimu wa kuwinda unaisha 31 dec.ipo sehemu nyingine karibu na gate la bahari beach lakini pale ni ya kuchoma tu.

Mkuu nakushukuru, nimempigia amesema nikifika africana nimpigie. Nitaleta mrejesho baadae
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom