Mike Tyson Denies Sex Change Rumors

Mike Tyson Denies Sex Change Rumors

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Tyson forced to deny sex change claims

By Eurosport | The Pugilist

823516-14075833-640-360.jpg

Mike Tyson has denied reports that he has undergone 16 hour sex change surgery and would now be known as Michelle.
Several online African newspapers appropriated a spoof story about the former heavyweight boxing champion having a sex change at face value.

The original spoof was published on the NewsBiscuit website at the end of November.

It was then published as fact by Zimbabwe's Standard on Sunday. Zambian news website Zambia Watchdog carried the story on Monday and it was picked up by the SpyGhana news website on Tuesday.

"We've had half as many visitors from Africa in the last few days as we'd expect generally in a whole month," John O'Farrell from NewsBiscuit told the BBC, adding that the story had been viewed over 50,000 times.

A statement accredited to Iron Mike on the Spy Ghana website said: "I am still a man and I have always been fully in touch with my masculinity and have no intention of becoming a woman. The claims are not only untrue but unbelievably stupid. I was at the Pacquiao-Marquez fight on Saturday and any reasonable person could tell I was looking like a man."
 
Ni uzushi mtupu na huu uzushi upo huku africa zaidi
marekani wala hawajishughulishi na uzushi huu
 
huo ni udaku ulioandikwa na mitandao ya malawi na zambia....
hakuna ukweli wowote juu ya hili na wala vyombo reliable vya habari
havijatoa taarifa hizi mfano bbc,cnn nk na hata magazeti ya maana ya kibongo
labda ya udaku.
 
Gazeti la Mwananchi nao waliandika.
 
ni uzushi uliosambaa africa kuanzia kwenye magazeti ya zimbabwe na wameutoa kwenye tovuti flani ya jokes huko u.k.
Nashangaa magazet ya udaku eti yameandika kuwa bwana lajitokeza kumuoa yani yanapotosha watu kwa habari hadi wametengeneza picha ya kuunga unga wakampodoa eti ndiyo picha yake ya sasa.
I really hate shigongo udakuz wanapotosha jamii na habari za uongo na watu wanaamini kila kiandikwacho
 
Ni kweli amebadili na mie nimeshuhudia mabadiliko hayo.

Cha muhimu zaidi ni kuwa nimeshajua hata dawa ya kubadili JINSIA:

1. Nenda msituni na tafuta nyoka wa aina yeyote na umuuwe.

2. Kata Masaburi yake/makalio yake na uyachemshe.

3. Tengeneza Mkaa wa Mgomba (siyo majivu) na usage.

4. Changanya hivyo vitu hapo juu na mkojo wa Kuku na unywe mara moja tu.

Bila kujali jinsia yako, siku itakayofuata, utakuwa umebadilika na kuwa na Jinsia nyingine kwa 100%.
 
Kuna magazeti mengine nI heri yafungiwe tu

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Ndio maana nasoma An-nuur au Kisiwa hayo mengine yote ya Udaku tu!
 
Shame on Tanzanian government owned news papers for reporting hoaxes
 
Shame on Tanzanian government owned news papers for reporting hoaxes

unless you want them to stop all international news which mostly rely on integrity of other newsmen, I would disagree with you. I read it in yahoo.com, and a lot of other nationality blogs,
but anyway, how did you want the news to be handled?
 
Nilishangaa kidume mbabe wa wababe MIKE TYSON A.K.A ABDULLAH AZIZ leo anaitwa MICHELLE?
 
Kwanini asifungue kesi ya madai ili awakomeshe makanjanja wa afrika wazee wa kucopy na kupaste?
 
NewsBiscuit website: Tutafakari maana ya hili jina ndiyo tutapata jibu kwanini waliandika hizo habari.
 
Ni kweli amebadili na mie nimeshuhudia mabadiliko hayo.

Cha muhimu zaidi ni kuwa nimeshajua hata dawa ya kubadili JINSIA:

1. Nenda msituni na tafuta nyoka wa aina yeyote na umuuwe.

2. Kata Masaburi yake/makalio yake na uyachemshe.

3. Tengeneza Mkaa wa Mgomba (siyo majivu) na usage.

4. Changanya hivyo vitu hapo juu na mkojo wa Kuku na unywe mara moja tu.

Bila kujali jinsia yako, siku itakayofuata, utakuwa umebadilika na kuwa na Jinsia nyingine kwa 100%.

Hii ndo JF, full vimbwanga
 
Ha ha haa haaaa! We noma hii ndo JF bana full vikolombwezo.
 
Back
Top Bottom