Polisi kituo cha mlimani chini ya ocd Leah, wanamnyanyasa huyu dada. Ushahidi upo wazi, wanasema upelelezi bado unaendelea hadi leo 16/12/2012, kesi haipelekwi mahakamani, watuhumiwa wapo nje na wana mawasiliano mazuri tu na polisi hao.
Angali hili tukio.
Siku ya 30/11/2012 mpangaji mwenzangu lirudi nyumbani akitokea kazini na kukuta vitu vyake vimetimuliwa timuliwa, wamechukua Laptop, Camera, Dhahabu zake, nguo, hela na vitu vingine, ila hawakuvunja mlango, lakini alikuta ufunguo mezani kwake pamoja na viatu vya kiume (ambavyo huwa anaviona mlangoni mwa huyo mpangaji mwenzetu). Malango wa room yake ulikuwa umefungwa kama kawaida wakati anarudi. Alimpigia mama mwenye nyumba yetu kwa taarifa na kwenda police (polisi chuo kikuu cha Dar es salaam).
Akiwa njiani, alipokea simu ya mtu aliejimbulisha kuwa ni mpangaji mwenziye, akimwambi kuwa fungo wa chumba chake umesahaulika juu ya meza yake ya kioo ya huyo dada .hivyo anauomba. Ifahamike kwamba, huyo mkaka (mpangaji mwenzetu) hajawahi kuingia ndani ya chumba cha huyo dada. Alifungua jalada UD/RB/6392/12 juu ya tukio zima. Polisi walenda kwenye eneo la tukio, na picha za funguo na viatu zilipigwa katika chumba cha huyo dada kabala ya kupelekwa polisi. Alipewa wapelelezi Halima 0716383833 na Ally 0779884314.
Siku ya tukio.
Siku ya tukio, kuna dada mgeni alikuja ndani ya nyumba yetu ambayo imezungushiwa ukuta. Mkaka mmoja naye ni mpangaji mwenzetu, alimuhoji dada anamtaka nani? Yule dada (mgeni) alisema amekuja kwa Yule mkaka ambaye funguo zake zipo kwa Yule dada, jamaa akamtolea stuli nje akalie. Baadae Yule dada alionekana na begi na alisikika na mjukuu wa mama mwenye nyumba yetu akiongea na simu kuwa tayari ameshamaliza na akaondoka zake kwa bajaj ..maelezo hayo yote yapo polisi, na wote tulihojiwa.
Pili, mlango wa huyo mkaka (funguo na viatu vyake vipo polisi) ulibadilishwa kitasa kwa muda .badaye wakaona hapana .wakarudisha kitasa kingine .(hatujui ni kitasa kilekile cha zamani au kipya zaidi). Ama kama haitoshi, wakaenda na wao polisi mlimani saa mbili usiku kuwa na wao wamegundua kuwa wameibiwa.
Swali kuu ni kuwa; Kaka (mpangaji mwenzetu) alijuaje ufunguo wa chumba chake upo mezani kwa Yule dada ? Polisi wanataka ushadi gani ili vitu vya huyo dada vipatikane wakati watuhumiwa wanao?
Tunaomba IGP na taasisi husika, kulichukua hili jalada na kuhakikisha vitu vya huyo dada vinarudi, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha polisi wanamna hii.