Serikali ihairishe digital switchover.

Serikali ihairishe digital switchover.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,811
Reaction score
9,752
Serikali haina budi kuhairisha kuzima mitambo ya analogue hadi hapo kero la vingangamuzi limepatiwa uvumbuzi hususan:
- upatikanaji wa free to air channels
- kukwamaa(picture freeze) au kutopatikana kabisa baadhi ya channel.
Tanzanians are spending millions of hard earned cash on vingangamuzi/huduma duni. Malamiko ni mengi mno siyo serikali wala makampuni husika yametoa ufafanuzi.
We demand ministrial statement on issue.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
serikali yetu tukufu na sikivu itachukua wazo lako, usihofu. Mbali na hapo tupo tunasubiri hiyo 31st Dec, 2012 kuona ndoto ya 'wanafunzi kupandishwa kutoka std iv kwenda University'!
 
In Rwanda ile ministry ya communication na ile reguratory authourity yao iko very strickly kwa makampuni ya mawasiliano,hawa matapeli wa ving'amuzi wangekuwa Rwanda wangepigwa faini mpaka wengine wangekimbia,lakini hapa tuna mawaziri vijana baada ya kuchapa kazi ili kujitofautisha na wazee waliojazana serikalini nao wemejiunga kuutaka urais bila hata kutupa muda wakuwapima utendaji wao na ata uzalendo wao kwa taifa ili ambalo limezongwa na innefficiencies!
 
Serikali haina budi kuhairisha kuzima mitambo ya analogue hadi hapo kero la vingangamuzi limepatiwa uvumbuzi hususan:
- upatikanaji wa free to air channels
- kukwamaa(picture freeze) au kutopatikana kabisa baadhi ya channel.
Tanzanians are spending millions of hard earned cash on vingangamuzi/huduma duni. Malamiko ni mengi mno siyo serikali wala makampuni husika yametoa ufafanuzi.
We demand ministrial statement on issue.


They are all busy wanatafuta urais.
 
Back
Top Bottom