Polisi na utumiaji wa silaha za moto!

Polisi na utumiaji wa silaha za moto!

Nadhani kuna tatizo kubwa kwenye jeshi letu la polisi kuanzia juu hadi chini pamoja na wote wenye uwezo wa kulisimamia..,
kwanza - polisi hawajiongezi, maana ya kwamba pamoja na maelekezo wanayopata kwa wakuu wao, hawana enough brains za kuchanganua na kupata matokeo mazuri ya kazi zao
pili - wamejenga chuki na waajiri pamoja na wanaowalinda - inadhihirika pale wanatakiwa aidha kuzuia maandamano ya chama pinzani au maandamano ya wana-cho, machinga, watoto etc, haiingii akilini kutumia risasi za moto pale ukijua fika kwamba wale waandamanaji hawana silaha zaidi ya mawe
tatu - siasa na uwajibikaji - mara zote ingawa siasa inahusishwa na mabaya, viongozi wetu wa kisiasa hawawezi kuwawajibisha hawa jamaa pale wanapoenda kinyume na taratibu zao za kazi, nadhani hawa wana mambo mengi yanayowaunganisha kuzidi yenye uwezo wa kuwagawa,. haitatokea waziri wa mambo ya ndani kumwajibisha RPC lets say wa Mara, wakati huyo RPC ndo anatunza siri ya biashara za magendo ya waziri mwenzake..
nne - sifa za nyadhifa - utamsikia mzazi akimshangaa mwanae aliyefeli form four au six - kwamba hata upolisi ameshindwa kwenda, ina maana police force yetu imejaza failures ukizingatia wale wale ndo wanapata prpmoshens na baadae kushika nafasi za maamuzi - wht do you expect
tano - morale yao ipo chini sana - baada ya kukabidhiwa jukumu zito kweli, hawa jamaa wanakosa cha kujivunia kwa vile wana mishahara sio mizuri na muda wao mwingi wanautumia kazini kiasi hawawezi kuongeza kipato na kusababisha sometimes kudai hongo kwa nguvu zote na ikishindikana kuua kwa chuki
ni maoni yangu mimi binafsi
 
kaka umetoa hoja nzito sana.ila kuna sehemu moja ambayo mimi nafikiri tofauti kidogo na wewe.uliposema polisi wana chuki na wananchi;mfano wanapotumwa watawanye maandamano wanatumia risasi za moto wakati waandamanaji wana mawe.kwanza pengine tungefikiria kwamba hawa waandamanaji wana mawe ya nini?pengine turudi kwenye uhalisia zaidi na kuifikiria saikolojia ya mwanadamu.hihi unapomuona mtu mzima anakupopoa na mawe una mtafsiri je?mimi kwenye maandamano flani nimeshuhudia polisi abao wala hata walikuwa hawafanyi chochote wakipigwa mawe na waandamanaji,halafu wakachukuwa hatua ya kurudi nyuma waandamanaji wakawa wanawakimbiza, polisi wakaamua kugawa kipigo,ndo waandamanaji wakakimbia.
 
hivi unajua hata wao wenyewe kama staff hawapendani ukitaka kushuhudia hili wewe jaribu kufuatilia pale mmoja wao anapopata tatizo yaani hata mke wake anaweza kuliwa ili kuserve hilo swala sasa je hapo unategemea utapata huduma kweli?au utapewa matatizo tuu
 
lakini huwa kwenye taasisi mbalimbali bifu na migogoro ya ndani huwa haikosekani ndo maana unakuta kuna majungu ya hapa na pale.kuna kipindi nilifanya kazi na kampuli flani;boss akawa anawala wake za watumishi wake halafu wameajiriwa vibarua,mwanangu kalikuwa kachangamoto!
 
Kazi ya ya silaha wanazo pewa poisi ni kuulia wale wakosoaji wa watawala, hasa Chadema.Ila siyo siri wale wananchi wa Ngara waliowafanyia kweli hawa mbwa wa Mwema wamenifurahisha sana
 
kwa hiyo kumbe yule mwananchi aliyewawa ngara ni chadema na mwangosi pia ni chadema.ok! sasa unadhani siku chadema wakiingia madarakani tutakuwa na haja ya kuwa na polisi kwa kuwa kwa sasa polisi wako kwa ajili ya kuua chadema na kipindi hicho chadema watakuwa ndo wako madarakani?
 
na mimi natamani kama wewe kufurahishwa na kile kitendo cha wana-Ngara kwa vile hawa jamaa zetu kiukweli sio wema kabisa, lakini inazidisha bifu kati yao na raia
 
na mimi natamani kama wewe kufurahishwa na kile kitendo cha wana-ngara kwa vile hawa jamaa zetu kiukweli sio wema kabisa, lakini inazidisha bifu kati yao na raia
suala kama hili tukiwa tunalitizama kwa ushabiki linaweza kusababisha madhara makuu.tukumuke kwamba polisi walikuwa na risasi njingi.lakini baada yakuona wamemuua mtu yule mmoja na watu wanawazingira wakaona cha kufanya ni kukimbia na kujificha.unaonaje kama ingekuwa ni niue nikuue,piga nikupige,ushabiki ushabiki ni nini kingefuata?
 
nops mkuu, kama walichokuwa wakifanya kilikuwa halali, ilikuwa na maana gani yule askari kukimbia na kujificha, alikuwa na uwezo wa kuomba backup kutoka kituoni, tena ukipata taarifa inasema watu walizingira pale baada ya askari kufyatua risasi iliyomuua yule jamaa, ina maana action za raia zilitokana na hasira za walichokiona,
 
kwa hiyo kumbe yule mwananchi aliyewawa ngara ni chadema na mwangosi pia ni chadema.ok! sasa unadhani siku chadema wakiingia madarakani tutakuwa na haja ya kuwa na polisi kwa kuwa kwa sasa polisi wako kwa ajili ya kuua chadema na kipindi hicho chadema watakuwa ndo wako madarakani?

Mtalalama sana lakini unyonge sasa basi, polisi wakiua mtu mmoja wananchi wanaua polisi wawili, safi saaaaaaaaaaaaaaana.
 
Back
Top Bottom