Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nmesikia jina hili juu juu wakati kipindi cha powerbreakfast kinaisha wakimzungumzia. Nmesikia anahusika na wizi wa vifaa vya magari kama power window redio nk. Nlkw ktk daladala watu wanajaribu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi sasa maaskari(zaidi ya kumi) wanasimamisha magari na kushusha madereva,na kuwaambia kosa watalikuta kituoni,ni kero sana kwa abiria...ni maeneo ya KANAZI na KONA YA RULENGE.picha zitafuata punde.
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Yani nimeshangaa hadi uchizi umetaka nitoka nimekata FASTJET DAR TO MWANZA NI TSHS.240,000/= NA VIJISENT KWENDA NA KURUDI LAKINI PRECISION AIR KWENDA BUKOBA -MWANZA KWENDA NA KURUDI LAKI 3 NA...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama ya Kenya Ngangari imewauhumu askari 9 kwa hukumu ya kunyongwa mpaka kufa baada ya kutumia nguvu kubwa katika vulugu za madriver Taxi na mauwaji yalitokea sorce: citizet TV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The superpower is history. That’s according to a US report that says no one country will hold sway in global politics by 2030. Instead, America will be one of several equal powers and China will...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Wabunge kuteuliwa mawaziri ni sawa na mlalamikaji kuwa shahidi wa mshtakiwa. Kwa nyovyote lazima watenganishwe ili serikali iweze kuwajibishwa na wananchi kupitia wabunge wao wanaowawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni.Uongozi wa CCM Tabora unawatumia vijana 60 hawa wasomi SAUT kwa kuwapeleka kula bata Serengeti mbugani kuona wanyama kuanzia Dec 22,2012.Cha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumetokea ajali mbaya mteremko wa kibamba ikihusisha gari tatu, coaster 2 na corolla. Coaster zimegongana uso kwa uso. Moja ilikuwa inatoka Dar kwenda Msata. Nyingine inatoka Kbh kwenda Dar
0 Reactions
25 Replies
4K Views
MKUU wa Mkoa wa Arusha Magessa Mullongo amzawadia TUZO ya Uandishi Bora wa habari za Jamii na Maendeleo Meru Mwandishi wa habari Mary Mwita wa Gazeti la Mtanzania Magessa alitoa kwa uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wiki hii vyombo vingi vya habari hususan magazeti yameripoti vifo vya watu waliokufa kutokana na njaa katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCA). Mbali na vifo hivyo kuripotiwa lakini pia kuna...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajamvi hebu tujadili maana halisi ya maendele ni nini? Ilitutafute haya maendeleo halisi tunayoyahitaji badala ya watu wachache kutudanganya kwa masilahi yao. Je maendeleo ni MAGOROFA, MAGARI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Kwa mujibu wa kipindi cha matukio cha radio free Afrika leo asubuhi, Diwani mmoja wa viti maalum (Chama hakijatajwa) alikamatwa na polisi ati kisa kamtelekeza mtoto mchanga Bar. Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Duh, jamani mwenzenu natatizwa kweli. Kila nikimmaind demu na kuanza mikakati ya kumtokea, mara linakuja wazo la ukimwi. Mnh, ghafla apetait inashuka mpaka -20 degrees. Mweee! Wenzangu...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
kutokana ujenzi wa Barabr unaoendelea Morogoro Road,leo foleni imevunja Record inakaribia kufika Kimara... Huu mnyonyoro ni toka ubungo to Resort....
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau Wataalamu wa afya nchini wametaadharisha kuwa mabusu kwa watoto wadogo wenye umri wa chini ya miaka 5 kuwa inasababisha kupata magonjwa kama NIMONIA inayoua watoto zaidi ya 15000 kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu Meya abanwa uchafu Dar na Shehe Semtawa Tanzania Daima WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Terezya Huvisa, amembana Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Abdallah...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Kuna haja wanaotayarisha magazeti wazidi kuwa makini wakati wanapochapisha matoleo yao, leo nimesoma gazeti la NIPASHE lina kichwa cha habari kinachosema ''Majambazi yatikisa Dar ...yapora milioni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jamvi, Wafanyakazi wa muda walokuwa wakiingiza data kwenye kituo cha data processing (Kilichopo Tanita - Kibaha) kwa ajili ya data za sensa ya watu na makazi ilofanyika Mwezi Agosti mwaka huu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…