Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kile kilichokuwa kinaonekana kama ccm kujipenyeza katika taasisi za elimu ya juu, kimeingia doa baada ya ccm mkoa wa tabora kuwaandalia safari ya kitalii wanachuo wa saut kwenda mbuga ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF naomba msaada wapi hapa Dar naweza pata kifaa hiki ambacho ni muhimu kwa TV zetu zenye mimba/TV za kizamani, nimezunguka Kariakoo yote naelekezwa kununua ving'amuzi vya zuku, Startimes etc...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ministry of Looting and Corruption is back By Lolwe Dear comrades, it is a dark moment here at the Ministry of Looting and Corruption as everyone except me is mourning the great loss...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Mkapa alimwacha akiwa na cheo cha Luteni Kanali na akiwa DC wa Ngara. Leo ana cheo cha Luteni Jenerali, yaani amevuka vyeo vya Kanali, Brigedia na Meja Jenerali Alikuwa DC sasa Chief of Staff...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
DEAR GREAT THINKERS, HAPPY NEW YEAR. AND MERRY CHRISTIMAS WE ARE DESIGNED TO BE “GREAT” Let me introduce and share with you something...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Serikari inamnyonya mwananchi kwa asilimia mia moja bila kujari ugumu wa maisha uliopo, we piga hesabu mtaji wangu ni Tsh1500000 kodi yangu kwa mwaka ni 120000, fire nawalipa Tsh42000 kwa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Napenda kuwapongeza wahusika wote wanaohusika na hazina kwa kutoa mishahara ya watumishi mapema kabla ya tarehe stahili; wamefanya kazi nzuri sana mwezi...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
KUNA WATU WAMEWASIFU HAZINA ETI WAMEWAHISHA MISHAHARA YA WATUMISHI, ALIYEPOSITI AMEFANYA UCHUNGUZI WA KUTOSHA? PLS NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK!! UNGETAKIWA KUWASIFU KWA MAHALI ULIPO SIO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza kabisa,namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda wakati wa safari ya kwenda na kurudi Uswisi. Ninayo mengi ya kusema kuhusu mabilioni yaliyofichwa huko na uwepo wake hapa duniani Gavana wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kauli kali ya mtumishi wa mungu leo star tv,ni vyema sisi wananchi tukatafari hawa viongozi wanaojihita eti wanaendesha mkakati wa kuikomboa tanzania je siyo mijusi kweli ?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada hasa wa kisheria. Kuna ukumbi wa starehe umefunguliwa karibu na makazi yetu hapa ni siku ya tatu leo nyumbani hatusikilizani. Ninataka kujua; (1) Naweza kumfungulia mwenye...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
aiseeeeeeee babayangu, wana JF heri ya chrismass nimetoka kanisani narudi nyumbani kujumwika na ndugu jamaa na familia kwa ujumla siku ya leo ni siku ya kepekee sana so leo sito kunjwa mbege...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Channel zaidi ya hamsini asilimia 95 ki english iisipokuwa channel za bongo. 99:9% internet content English language. Busara ya ku adapt kiswahili as medium of instruction mashuleni enzi za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Salaam za x-mas na mwaka mpya Katika maisha kuna makundi ya watu wa aina tatu, a]waandika historia b]wasoma historia c]wasiojua chochote kuhusu historia Mwaka unaisha na mengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ashindwa kuhudhuria kesi kwa sababu ya kuumwa Ponda augua rumande
0 Reactions
49 Replies
5K Views
jamani simu zangu mbili nokia e71 na htc touch diamond,zimekuwa zikizima na kuwaka sijui tatizo ni nini,mwenye ufahamu na hili naomba anijulishe,je inauhusi ano na mambo ya digital au kuzima simu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naamini sarakasi za PM7 mtazimaliza huko kwenye chama chenu kama nilivyoona tamko la Mnyika humu ndani. Nimepita hapo Vwawa - Mbozi, nikakaa kwenye Bar moja ukweli Mwampamba unapaswa urudi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
wakuu nisaidieni katika hili,je uchawi ni nini??kuna wengine wanasema ni sayansi iliyofichika,yaani ambayo mechanism yake ni ngumu kuielezea,nakumbuka msomi mmoja wa chuo kikuu alikuwa anadadavua...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Makundi ya Kijamii Malawi Yakiongozwa na John Kapito yameandaa Maandamano tarehe 17/1/2013 ya Kupinga hali ngumu ya Maisha Chini ya Utawala wa Rais Joyce Banda. Wakati Rais Mutharika anakufa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
heri ya x mass na mwaka mpya. nauliza itv na eatv wanatumia au watatumia ving'amuzi vp? kwa sasa hawapatikani kwenye * times
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom