hivi precision air au Fast jet wana flight ya mbeya?

hivi precision air au Fast jet wana flight ya mbeya?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Heshima kwenu wakuu,, naombeni msaada wa kujua kwamba hizo kampuni juu zina flight ya kwenda mbeya..

Maana naangalia website zao hazina data nzuri..

Na kama hawana ni kampuni gani inayopeleka ndege mbeya na nauli zake zinakwendaje?

Maana nina harusi ya kamanda wangu next month na siwezi kukosa.. Na kwa kutumia usafiri wa basi itaniwia vigumu as naenda na b mkubwa na ana tatizo la kuvimba miguu akikaa muda mrefu kwenye kiti bila kutembea tembea...
 
Nina uhakika na Auric Air sijui kuhusu precision ila Fast Jet hawaendi.
 
Precious wanaanza soon itakuwa mara 3 kwa week!kaa tayari!wameshapata wakala wa kuuza tiketi na shuttle zinakuja aliepata hiyo tender anajiandaa nimeona magari yake sehemu hapa Dar
 
Kwa sasa mby kuna freightlink ambayo ni ndege ndogo na inauwezo wa kubeba abiria 14 nauli ni 418,250 return.

Precision air kwa kutumia ndege yao aina ya ATR 42-600 wanaanza safari za Mby (MBI) Tarehe 16 Januari 2013 na itakuwa mara 3 kwa wiki nauli yake ni 219,000 return!

Kwa maelezo zaidi na booking tembelea www.precisionairtz.com
 
fastjet wana flight mapka za kwenda timbuktu ...keep searching utaziona tu nadhani ni mara tatu kwa siku
 
Back
Top Bottom