Jaribu pale pharmacy for all karibu na Hindu Mandal. Kila la heri mkuuNi Portable medical device kwa ajili ya kupima 'Blood Oxygen Saturation' na 'Pulse rate'.
Kwa yoyote mwenye kujua zinapouzwa hapa Bongo zikiwa mpya tafadhari nijulishe na bei yake ikiwezekana.