Wakala
Member
- Dec 26, 2012
- 57
- 66
SIKU ya tarehe 21 nlipatwa na mkasa wa kuibiwa pesa kwny line yangu ya M-pesa, ambapo ishu ilkuwa hv
kuna mfanyakazi mmoja ,ambaye alijitambulisha kwa jina Azizi alkuja Ofsini kwangu kwa lengo la kuniunganisha na huduma ya mshiko Chap chap ambapo muda huo alkuwepo mfanyakazi wangu wa kike,kwa kutumia uzoefu wake alimshawish mfanyakaz wangu mpaka akapewa simu ya kazi.
Mara baada ya kupewa Simu mfanyakaz wangu ikibidi achukue simu yake binafsi na kunipgia kuwa kuna mfanyakaz wa Voda amekuja ,anataka atuunge mshiko chap chap.
Ilpopta kama robo saa nami niliwasili na kumkuta mfanyakaz wa Voda akiwa na simu ya kazi pale pale nikamuulza kuna Maelezo yapi yanayoonesha mfanyakaz wa voda kuchukua Simu ya wakala na kuanza kuangalia. . . !kwa upole na unyonge akaomba msamaha nam nikamsamehe then tukaendelea na ishu ya usajili wa mshiko chap chap.
Akawapgia voda makao ,na kutaja namba yangu ya wakala na jina then akaniambia after 15 mins nitapata sms ya kunijulisha kujiunga kwangu.
TUMESUBIRI SMS KAMA dak 20 nikaona kimya ikabd nimwachie mfanyakaz wangu then m nikasepa.
Kama ilvyo biashara yoyote mara baada ya biashara ni lazima mfunge mahesabu.
ChA AJABU NLPOJARBU KUFANYA MAHESABU NILIKUTA KIAS CHA SHILLING LAKI NANE(800,000) HAKUNA kiukwel nilichanganyikiwa fasta fasta nikawapgia voda ambapo walniambia pesa imetumwa kwny namba fulani ,wakanpa taarfa kuwa hela imetolewa tena kwa mawakala zaid ya watano.
NIlilipot polisi na kufungua jarda lkn mpaka xaxa Polisi wanasema hawajapata ushirikiano wowote kutoka vodacom,na wameniosha baadh ya mafaili ambayo mpaka xaxa Vodacom wameshndwa kuwapelekea nyaraka muhimu zenye kuonesha taarifa za namba za wizi .
HV JAMANI KWEL VODACOM MMESHNDWA KUPELEKA HZO DOCUMENT POLISI?
Je mnalipi la kusema kuwa nyie mmekuwa mkionesha Ushirikiano finyu na jeshi la polisi.