Arusha: mgambo waliokimbia baada ya Lema kurudishiwa ubunge warejea

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Asikari mgambo waliokimbia nakukataa kuwaondoa machinga jiji Arusha mara tu baada ya mahakama kumrudishia ubunge lema
leo wameingia kazini chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi,

Akiongea bila kutaja jina lake mgambo mmoja niliyemhoji alisema, wao waligoma baada ya mtetezi huyo wa machinga kurudi, kitendo cha mahakama kumrudishia Lema ubunge kilifanya jiji la Arusha kulipuka huku tukipita kila sehemu tukizomewa kana kwamba sisi ndio tuliomvua ubunge kitendo kilichotufanya kugoma hadi hapo tutakapo jipanga tena alisema mgambo, hata hivyo kwa upande wake Lema katka mkutano wake akiongelea swala hilo alisema yeye hapingani na sheria za jiji ila wakae upya na kuona njia nzuri yakuboresha mazingira ya machinga.
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,207
8,690
Jiji limekuwa linaendeshwa kibabe na kwa rushwa badala ya meza ya mazungumzo!
Hebu tuone sasa kama wataendelea.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom