05/04/2012 - Siku hiyo historia iliandikwa jijini Arusha

Joined
Nov 28, 2012
Posts
28
Reaction score
7

Ilikuwa ni siku ya Alhamisi...tarehe 5 mwezi April mwaka 2012.....nikiwa nimetulia zangu home maeneo ya USA River Simu yangu iliita...taratibu nikaitoa mfukoni na kuicheki screen kujua nani anaenipigia....screen ya simu yangu ilikuwa inasoma hivi " Godbless Calling" well najua mnataka kujua ni GodBless Yupi but i will go straight to the point...Simu hiyo ilikuwa ni from Godbless Lema aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA)......moyo wangu ulisita kupokea hiyo simu kwa sababu usiku wa tarehe 4/4/2012 kulitokea ubishani wa nguvu kati yangu na Godbless......ubishani huo ulitokana na msimamo wangu wa kuamini Godbless Lema alitumia unfair approaches during his entire campaign....na usiku huo nilimuambia bila kuficha ya kuwa kwa uwezo wa mungu atavuliwa ubunge siku hiyo ya hukumu....sasa nilipoona simu yake basi nikajua atakua amewashinda wapinzani so he is just calling to taunt me therefore nikapotezea.......dakika chache mbele nikapokea simu kutoka kwa rafiki yangu akinipa breaking news ya kuwa Mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua matokeo ya uchaguzi jimbo la Arusha mjini, na hivyo kusababisha Godbless Lema kupoteza kiti chake cha Ubunge. Kwa sauti kubwa nikasema HALLELUJAH.....nilifurahi sana because i know Godbless more than any body....nimesoma nae na kucheza nae utotoni pia......hakustahili kuwa Mbunge Wa Arusha Mjini at first hand....that guy he can even reason or argue but thanks to his close relationship with Mzee Mtei alibebwa mpaka akawa Mbunge...huyu Jamaa wakati wa campaign he was spending the whole sessions to abuse and insult Dr. Batilda....na hapo ndipo heshima yangu kwake ilishuka....therefore siku hiyo nilifurahi sana kusikia his victory has been rescinded...

Tujukumbushe habari yenyewe....

Mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua matokeo ya uchaguzi jimbo la Arusha mjini, na hivyo kusababisha Godbless Lema kupoteza kiti chake cha Ubunge.

Taarifa kutoka jijini Arusha zinasema uamuzi huo umefikiwa leo asubuhi Aprili 5, 2012 mbele ya Jaji Mfawidhi wa Kanda ya Sumbawanga, Gabriel Rwakibarila katika hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Jimbo la Arusha hilo yaliyo wasilishwa na wanachama watatu wa CCM waliotaka Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutengua ushindi wa Mbunge huyo.

Wana CCM hao waliofungua kesi hiyo ni pamoja na Mussa Mkanga (55), Happy Kivuyo (49) na Agnes Molle (44).

Lema katika Uchaguzi huo alikuwa akichuana vikali na Mgombea wa CCM, Dk. Batilda Salha Buruiani ambaye kwa sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya.

Kuvuliwa Ubunge kwa Lema, kuna kuja siku chache wakati bado cham hicho kipo katika shamra shamra za ushindi wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki mkoani humo.

Pia habari za ndani ya Chama cha Chadema zinasema kuwa tayari Chama hicho kilisha soma alama za nyakati mapema katika kesi hiyo miezi kadhaa nyuma na kujipanga endapo mbunge huyo atavuliwa nini wafanye.

Wanachama wa CCM waliofungua keshi hiyo wanadai kuwa taratibu za maadili ya uchaguzi zilikiukwa wa kuwa mshindi alitumia lugha za kashfa, matusi na kejeli katika mikutano ya kampeni aliyofanya jimboni Arusha.
 
Wewe una matatizo makubwa sana ya akili iliyopo kichwani mwako kushinda mimi.
Lord help him.
 
GODBLESS was supposed to represent Arusha consituency by 2005 lakini aliuza kura,2010 nguvu ya umma ilisomamia ushindi wake na ilimuonya wazi wazi kuwa this time ni lazima awe mbunge or else wangempoteza yeye na familia yake.
Point yangu ni kuwa waliompa ubunge wa arusha mjini ni wananchi,aliyemvua ubunge ni kikwete na wanaoendelea kumtambua kama mbunge wao ni wananchi wa arusha.
Lema amejifunza kuwa wenye madaraka kamili ni wananchi na sasa ameamua kuwa sehemu ya wananchi!
Kikwete anaweza kuamrisha lema avuliwe ubunge lakini hawezi kuamua n nani awe mbunge wetu!
Matokeo yoyote ya mahakama ya rufaa hayawezi kubadilisha msimamo wa wana-arusha dhidi ya ccm.mkiweka jiwe na mwanaccm tutachagua jiwe!

Namjua Lema kama daktari anavyomjua mgonjwa wake!

ARUSHA IPO TAYARI KWA UCHAGUZI MSIUMIZE VICHWA ,SITISHENI UBUNGE WA LEMA TURUDI KWENYE UCHAGUZI.
 
Una hangaika sana! Kwanza wewe unataka tuamini umesoma nae hili iweje? Naona huna cha kusema wewe!

Hongera kwa kusoma na Lema!
 
Ilikuwa ni siku ya Alhamisi...tarehe 5 mwezi April mwaka 2012.....nikiwa nimetulia zangu home maeneo ya USA River Simu yangu iliita...taratibu nikaitoa mfukoni na kuicheki screen kujua nani anaenipigia....screen ya simu yangu ilikuwa inasoma hivi " Godbless Calling" well najua mnataka kujua ni GodBless Yupi but i will go straight to the point...Simu hiyo ilikuwa ni from Godbless Lema aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA)......moyo wangu ulisita kupokea hiyo simu kwa sababu usiku wa tarehe 4/4/2012 kulitokea ubishani wa nguvu kati yangu na Godbless......ubishani huo ulitokana na msimamo wangu wa kuamini Godbless Lema alitumia unfair approaches during his entire campaign....na usiku huo nilimuambia bila kuficha ya kuwa kwa uwezo wa mungu atavuliwa ubunge siku hiyo ya hukumu....sasa nilipoona simu yake basi nikajua atakua amewashinda wapinzani so he is just calling to taunt me therefore nikapotezea.......dakika chache mbele nikapokea simu kutoka kwa rafiki yangu akinipa breaking news ya kuwa Mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua matokeo ya uchaguzi jimbo la Arusha mjini, na hivyo kusababisha Godbless Lema kupoteza kiti chake cha Ubunge. Kwa sauti kubwa nikasema HALLELUJAH.....nilifurahi sana because i know Godbless more than any body....nimesoma nae na kucheza nae utotoni pia......hakustahili kuwa Mbunge Wa Arusha Mjini at first hand....that guy he can even reason or argue but thanks to his close relationship with Mzee Mtei alibebwa mpaka akawa Mbunge...huyu Jamaa wakati wa campaign he was spending the whole sessions to abuse and insult Dr. Batilda....na hapo ndipo heshima yangu kwake ilishuka....therefore siku hiyo nilifurahi sana kusikia his victory has been rescinded...

Tujukumbushe habari yenyewe....

Mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua matokeo ya uchaguzi jimbo la Arusha mjini, na hivyo kusababisha Godbless Lema kupoteza kiti chake cha Ubunge.

Taarifa kutoka jijini Arusha zinasema uamuzi huo umefikiwa leo asubuhi Aprili 5, 2012 mbele ya Jaji Mfawidhi wa Kanda ya Sumbawanga, Gabriel Rwakibarila katika hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Jimbo la Arusha hilo yaliyo wasilishwa na wanachama watatu wa CCM waliotaka Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutengua ushindi wa Mbunge huyo.

Wana CCM hao waliofungua kesi hiyo ni pamoja na Mussa Mkanga (55), Happy Kivuyo (49) na Agnes Molle (44).

Lema katika Uchaguzi huo alikuwa akichuana vikali na Mgombea wa CCM, Dk. Batilda Salha Buruiani ambaye kwa sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya.

Kuvuliwa Ubunge kwa Lema, kuna kuja siku chache wakati bado cham hicho kipo katika shamra shamra za ushindi wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki mkoani humo.

Pia habari za ndani ya Chama cha Chadema zinasema kuwa tayari Chama hicho kilisha soma alama za nyakati mapema katika kesi hiyo miezi kadhaa nyuma na kujipanga endapo mbunge huyo atavuliwa nini wafanye.

Wanachama wa CCM waliofungua keshi hiyo wanadai kuwa taratibu za maadili ya uchaguzi zilikiukwa wa kuwa mshindi alitumia lugha za kashfa, matusi na kejeli katika mikutano ya kampeni aliyofanya jimboni Arusha.

you are out of your mind!
Unathubutu kuongea pumba kama bt? Na tumeshakufahamu! Na unabii wako wa makaraini!
 
...ulisoma nae wapi vilee!!?
Asante kwa simulizi nzuri...
 
sala za wanafiki Mungu azisikilizi yaani wewe Mnungu wa maombi yako ni mahakama hizi za Tanzania zilizojaa rushwa ubinafsi na uonevu hakika Haleluya uliyoisema itakusuta. Buliani hajajafungua kesi waliofungua ni watu wa kawaida kama ww unavyoonyesha chuki na hatujui wana lengo gani au ndo walewale wezi ili wamrudishe buliani wapige ten %. haya umeambiwa matusi rukra kwenye kampeni upo hapa kesi ya Lema haikuamuliowa mahakamani. mahakama ilitoa agizo ililopewa. kusoma na lema nini bwana hata kikwete anao aliosoma nao. Umesoma nae je ww umefanya nini kuwasaidia maskini wa nchi hii afadhali akina lema tunaona harakati zao.
 
Si Lema wala Dr. Batilda, imekula kwetu.
 
[h=5]NIMEZALIWA SIKU YA KIFO CHA MAMA YANGU NA HARUSI YA BABA YANGU.

Happy birthday to you, Happy birthday to you, Happy birthday to you……… …….. Happy birthday dear JEMY ……. Happy birthday to you. Walipo maliza kuimba tu, nika ingiza mbwembwe zangu "alright ladies and gentlemen, brothers and sisters, friends and loved one, now let's start to count, eleven, twelve, ……. Ilipofikia twenty five tukapiga yowe wote kwanguvu HAPPY BIRTHDAY"… baada ya hapo Champaign na vicheko vilitawala huku mziki murua ukitusindikiza.

Nilikua mshereheshaji (MC) siku hiyo, na hakuna alie kua anafahamu kua na mimi pia siku hiyo ni siku yangu ya kuzaliwa, nimezaliwa tarehe ya Leo, mwezi wa kumi na mbili miaka ya themanini. Ni mtoto wa pekee kwenye familia ya Arobogast Sikazwe na Miriamu Bakunza ambao sikua nimewaona hata kidogo tangu kuzaliwa kwani niliambiwa kuwa walifariki tangu nikiwa mdogo.
Nilipofikia kidato cha tatu nikiwa na umri wa takribani miaka 18 ndipo nilipopata ukweli juu ya wazazi wangu, tangu hapo nili ichukia siku yangu ya kuzaliwa, sitamani kuikumbuka maisha yangu yote, wakati nikiona watu wanafurahia siku zao za kuzaliwa mimi natamani hata isingekuwepo, natamani ingefutika katika kalenda za dunia na usiku wake ungekua giza nene lisilo na mwanga, sitamani kuilaani kama AYUBU la hasha lakini sitamani kuikumbuka hata kidogo ,japokua kila mwaka siku hiyo hutokea tena nayo ni leo.

Nakumbuka siku hiyo asubuhi niko darasani (shule ya kata) mwalimu alikuja kuniita, nilipatwa na mshituko nikidhani labda kuna kosa nimefanya na napaswa kuadhibiwa, lakini nilipofika ofisini nilimuona bibi pamoja na mzee mmoja anaeonekana wa makamo kama miaka hamsini na kitu hivi. Niliwakaribia na kuwasalimu kwa pamoja "shikamooni", nao kama ada wali itika na mwalimu wangu akadakia na kuniambia natakiwa nichukue vitu vyangu niende nyumbani nahitajika. Kwa kweli nilipata mshituko lakini sikua na jinsi nilienda kukusanya kila kilicho changu na kuambatana nao.
Tukiwa njiani Yule mgeni alikua akiniuliza uliza maswali ya hapa na pale nami niliyajibu kadiri niwezavyo. NILIPATWA NA HOFU ZAIDI NILIPO FIKA NYUMBANI, Kwani bibi alianza kulia na Yule mgeni alikua amesimama huku anasema "MAMA NAOMBA MNISAMEHE" Mimi sikujizuia nilimkimbilia bibi na kuanza kumuuliza, "kuna nini mbona unalia?" alinikumbatia huku akini sugua sugua mgongoni. NILIPANDWA NA HASIRA NIKASIMAMA NIKA MSOGELEA YULE MGENI, "niambie wewe ni nani? , unatoka wapi? na umemfanya nini bibi yangu?" nilimuuliza kwa ukali na kwa sauti iliyoambatana na kwikwi za kilio, kwa kweli nilikua na uchungu kwani kwangu mimi bibi ndio kila kitu, tangu nimejitambua yeye ndio baba na ndio mama kwangu…
Wakati nikisubiri majibu ya maswali yangu bibi alisimama na kunivuta kwake, kisha alifuta machozi na kunikalisha chini. "AMON" aliniita kwa upole, nikamuitikia "naam bibi" akaendelea kusema " mithali inasema MUNGU hataicha nafsi ya mwenye haki ife na njaa, na njia za mtu ziki mpendeza MUNGU hata adui zake huwapatanisha nae." mmggghhhhhhh… nili guna kidogo kisha nikaendelea kumsikiliza,Mjukuu wangu nisikilize kwa makini, mama yako alifariki muda mchache tu mara baada ya wewe kuzaliwa, na kilicho muua zaidi ni shinikizo la damu. Mama yako alipatwa na uchungu mkubwa sana moyoni ukiambatanisha na uchungu wa uzazi hakuweza kukusukuma, na wakati wa uzazi alizimia mara mbili. Tulijitahidi kumtuliza na hatimaye wewe ukazaliwa, kwa kweli mjukuu wangu ulipotoka tu mama yako alitabasamu kidogo tu kisha aka kukumbatia na kusema maneno haya, "MWANANGU UKIKUA USIJE UKACHEZEA HISIA NA MAISHA YA WASICHANA WA WATU", halafu akazimia tena.
Mjukuu wangu chanzo cha yote hayo ni baba yako, aliposikia kua mama yako ana ujauzito alikukubali ila hakua tayari kuishi nae kama mke na mume na chazaidi siku wewe unazaliwa baba yako alikua KANISANI AKIFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWINGINE. Ilimuuma sana Mama yako,na alikua amejiandaa kwenda kuweka pingamizi kanisani lakini njiani uchungu ulimpata na kushindwa kutembea. TULIMCHUKUA KUMKIMBIZA ZAHANATI NA ALIPOZIMIA MARA BAADA YA WEWE KUZALIWA HAKUAMKA TENA, ALI LALA MILELE.

Machozi yalikua yana nitiririka bila hata kujitambua, moyo ulikua unadunda kupita maelezo, jasho lili nimwagika kama mvua. Roho mbaya wa risasi na visasi alinipagawa, mawazo yalipishana kichwani bila hata kusalimiana,. Nilimuangalia bibi, kisha nikamuangalia na yule mgeni ila yeye alikua ameinamisha kichwa chini. Bibi aliendelea, "MJUKUU WANGU SISI TULISAMEHE YOTE, NAOMBA NA WEWE USAMEHE UMUACHIE MUNGU AWE MUAMUZI".naomba unisamehe nilikudanganya kua baba yako nae amefariki, lakini si kweli baba yako yuko hai na NDIO HUYU MGENI TULIE NAE HAPA.
Ndugu zangu kwa kweli sidhani kama kuna wakati ulikua mgumu kwenye maisha yangu kama masaa yale, picha ya mama yangu mpendwa ilinijia jinsi alivyokua akilia kwa uchungu ilihali baba yangu anapigiwa vigelegele na matarumbeta ya furaha….sikuweza kujizuia na mpaka leo hua nalia kila nnapokumbuka. LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA, ILA NIMEZALIWA SIKU YA KIFO CHA MAMA YANGU NA HARUSI YA BABA YANGU.

(HIKI NI KISA CHA KWELI KILICHO CHANGANYWA NA UTUNZI, ILI KUWEZA KUJIFUNZA)[/h]
 
.....nilifurahi sana because i know Godbless more than any body....nimesoma nae na kucheza nae utotoni pia......hakustahili kuwa Mbunge Wa Arusha Mjini at first hand....
.

Na huyo Dr Batilda naye unamjua tangu utotoni ?
 
Huna jipya mi naona unabwabwaja tu,maamuzi yako kwa wananchi hata uchaguzi urudiwe mara kumi,tutakichagua tunachokipenda tu.HATUWATAKI VIBARAKA NA MAFISADI wa wachache.
 
NIMEZALIWA SIKU YA KIFO CHA MAMA YANGU NA HARUSI YA BABA YANGU.

(HIKI NI KISA CHA KWELI KILICHO CHANGANYWA NA UTUNZI, ILI KUWEZA KUJIFUNZA)

pole sana,japo umevamia thread
 
kusoma Na mtu si hoja, Kama wewe umesoma na lema na wewe hutaki kutumikia wananchi bali unatunikia mafisadi Na lema anatumikia wananchi basi wewe ndie mwenye matatizo!
 
huu ndio uzuri wa kuweka kumbukumbu!haya basi njoo tena utuambie ya juzi jimamosi!
 
Baada ya maelezo ya kimbunga, hasa aliposema ''.....nilifurahi sana because i know Godbless more than any body....nimesoma nae na kucheza nae utotoni pia......hakustahili kuwa Mbunge Wa Arusha Mjini at first hand....."

nilimuuliza hivi ;

Na huyo Dr Batilda naye unamjua tangu utotoni ?
 
Moderator,
niliiweka hii kama topic.
Nadhani kama ni kuiunganisha basi ingeunganishwa na thread zinazohusu ushindi wa lema.
Samahani lakini...
 
Back
Top Bottom