Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanabodi, Kijana mmoja amefariki dunia wiki iliyopita baada ya "kunaswa" kwenye mashine ya kusafishia chupa (wash machine) katika kiwanda cha bia (Tanzania Breweries Ltd-Dar es Salaam)...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimeona breaking news tbc kuwa kuna boat iliyozama kigoma jamani aliye humo atujuze vizuri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jamii! Please, anaejua sababu ya eneo hili kukosa umeme atujuze pls! Walitangaza? Wanatarajia kuurudisha lini? Because this is just too much! No power since yesterday morning.
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Katika kukabiliana na ushindani wa soko la ndege hapa nchini, hatimaye Precision Air wameshusha nauli zao kwa safari za DAR - KIA kwenda na kurudi kwa Tshs 199,000.00 huku kodi zote zikiwa...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Nimetuma sms 1 nimekatwa sh 125 na kuambiwa nitume sms mtandao wowote kwa sh1. hoja nikwamba hii nibora iwe promotion kwa anaetaka na c kwa kila mteja wengine 125 tunatumia wiki nzima.ni ushauri tu
2 Reactions
3 Replies
1K Views
TAHADHARI – Mega Wealth Ndugu zangu Ukipita Njiani haswa maeneo ya mwenge kwenye Internet café na sehemu za watu utaona matangazo ya Mega Wealth wanasema Jiunga na MEGA WEALTH UTAJIRIKE – TOA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania, tumehesabiwa, jumla tuko 44,929,002.Tanzania Bara 43,625,434 na Tanzania Zanzibar 1,303,568.Asanteni, Dkt. Jakaya M Kikwete. Sent from my iPhone
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ponone and company limited amejibu tuhuma za kukwepa kulipa kodi sambamba na kushusha mishahara ya wafanyakazi pamoja na kuwalipa baadhi ya wafanyakazi bila kuwepo kuwepo kwenye pay role...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu tafadhalini kama kuna mwanajamvi mwenye updates na hali ilivyo kwenye daraja la Msisi naomba anirushie hapa. Niko kitaa cha rock city naplan kurejea leo au kesho kwa kutumia ka mkweche kangu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja kati wananchi wanaomiliki vipande cha ardhi (kiwanja) Jijini Mwanza. Namiliki eneo hilo maeneo ya Nyasaka kwa zaidi ya miaka sita (6) lakini sina hati ya kumiliki eneo hilo ila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Katika hali isiyouwa ya kawaia au kuaminika masikioni mwa walio wengi ni kuhusu hii dini ya jamii ya siri fremasons ambayo kwa siku za karibuni imekuwa ikitajwa sana na midomo ya watz wengi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndug wanajf barabara ya kibondo kasulu hivi tunavyoongea magari kibao yamekwama kutokana na mvua zinazoendelea.jionee
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TANESCO WANAPOHAMIA DIJITALI KWA STAILI YA KIPEKEE Wakati Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA) juzi iliamua kuingia rasmi katika Mfumo wa Mawasiliano ya Televisheni na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafuta matokeao ya sensa ya 2012 kwa ajili ya tafiti zangu lakini nimeshindwa kuyaona mahali yalipowekwa rasmi. Nimekwenda kwenye tovuti ya National Bureau of Statistics Sensa ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Polisi wilayani Ngara wamevamia kijiji cha Mgoma, kata ya Mgoma na mkamata ndugu Peter Safari wa Kijiji cha Mgoma, kata ya Mgoma saa 8 za usiku wa kuamkia leo na kuondoka naye kusikojulikana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
2G Network 3G Network Display Type IPS LCD capacitive touchscreen, 16M colors Size 480 x 800 pixels, 4.0 inches (~233 ppi pixel density) Memory Card slot microSD, up to 32GB Internal 8 GB...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1.kifo cha sajuki ,freemason wahusishwa,inasemakana 1/1 ni aina ya kafara ya hali ya juu 2.sajuki alijua kifo chake 3.masaa 24 kabla ya kifo cha sajuki kama vie alijua 4.uchawi wahusishwa kifo...
3 Reactions
46 Replies
12K Views
Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…