Yeyote mwenye updates na daraja la Msisi anijulishe

Yeyote mwenye updates na daraja la Msisi anijulishe

Mihayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
268
Reaction score
63
Wakuu tafadhalini kama kuna mwanajamvi mwenye updates na hali ilivyo kwenye daraja la Msisi naomba anirushie hapa. Niko kitaa cha rock city naplan kurejea leo au kesho kwa kutumia ka mkweche kangu hivyo nilitaka nipate kujua hali ilivyo.

Thanks in advance
 
Swali lako halijitoshelezi ndiyo maana watu wanauchuna, kwa kukusaidia, kama ni lile la Singida, lililozolewa na maji, inasemekana wameweka la muda na limeanza kutumika.
 
Nilimaanaisha hilo la Singida nashukuru kwa taarifa mkuu.
Swali lako halijitoshelezi ndiyo maana watu wanauchuna, kwa kukusaidia, kama ni lile la Singida, lililozolewa na maji, inasemekana wameweka la muda na limeanza kutumika.
 
singidabridgemguguno2013.jpg

Habari ndio hiyo!
 
Panda first jet au zungukia ya nairobi
 
Wakuu tafadhalini kama kuna
mwanajamvi mwenye updates na hali ilivyo kwenye daraja la Msisi naomba
anirushie hapa. Niko kitaa cha rock city naplan kurejea leo au kesho kwa
kutumia ka mkweche kangu hivyo nilitaka nipate kujua hali ilivyo.

Thanks in advance

Usiogope njia ina pitika jana nilipita kwenda shy na leo nina rudi.
 
Thanks nyote mlionipatia updated niko Maganzo nachapa lapa kurejea.
 
hata kama halijakamilika kuna njia ya NDAGO mbele tu ya Misigiri inapitika tu fresh, hata mie siku ya tar 2 niliipita iko poa, usijal mwana

ila plan kusafir mchana usiku noma koz inasemekana ina wale wazee wa kazi!!!( wazee wa vigogo njian)
 
Thanks mkuu Mabreka nipo few kms kabla ya kufika Singida naamini nitafika Morogoro muda mzuri nikiona vipi niweka mbavu zangu Dodoma
 
Thanks nimepita kwa Msisi ukarabati wa kujaza kifusi unaendelea
 
Back
Top Bottom