Matokeo ya Sensa 2012 yako wapi?

Matokeo ya Sensa 2012 yako wapi?

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Nimejaribu kutafuta matokeao ya sensa ya 2012 kwa ajili ya tafiti zangu lakini nimeshindwa kuyaona mahali yalipowekwa rasmi. Nimekwenda kwenye tovuti ya National Bureau of Statistics Sensa ya Watu na Makazi 2012 ,sikuona chochote.

Je kuna ambaye anafahamu zimechapishwa wapi?
 
Nimeskia mkuu anawatumia sms baadhi ya wananchi kuwapa hayo matokeo.
Wewe hujatumiwa?
 
nenda ofisini kwao nina hakika utazipata.

Wote wanaozihitaji hizo data tukienda ofisini kwao kuzifuata si itakuwa balaa? Mwaka huu wa 2013 mpaka mtu ufuate data muhimu ofisini? Hata hivyo nimekuelewa...
 
Nimejaribu kutafuta matokeao ya sensa ya 2012 kwa ajili ya tafiti zangu lakini nimeshindwa kuyaona mahali yalipowekwa rasmi. Nimekwenda kwenye tovuti ya National Bureau of Statistics Sensa ya Watu na Makazi 2012 ,sikuona chochote.

Je kuna ambaye anafahamu zimechapishwa wapi?
tatizo hukufuatilia kwa makini juzi wakati rais anaongea.alisema wanachotoa ni matokeo ya awali ambayo ni jumla kuu.yaani ile mil44. details zitaanza kutoka kuanzia february 2013
 
tatizo hukufuatilia kwa makini juzi wakati rais anaongea.alisema wanachotoa ni matokeo ya awali ambayo ni jumla kuu.yaani ile mil44. details zitaanza kutoka kuanzia february 2013

Si wote tunafuatilia raisi anasema nini. Kama matokea ya sensa hayakuwa yamekamilika hapakuwa na haja ya kutoa 'matokeo ya awali' ambayo yalifanyiwa hata na sherehe maalum tofauti na miaka yote ambapo sensa zilifanyika. Leo hii huwezi ukaandika makala ya kitaaluma ukamnukuu rais kwa jambo linalohusu takwimu. Itabidi nitumie takwimu za zamani zilizoandikwa,
 
Back
Top Bottom