Magazeti ya udaku yatakavyoandika kuhusu kifo cha sajuki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti ya udaku yatakavyoandika kuhusu kifo cha sajuki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chimbuvu, Jan 2, 2013.

 1. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  1.kifo cha sajuki ,freemason wahusishwa,inasemakana 1/1 ni aina ya kafara ya hali ya juu
  2.sajuki alijua kifo chake
  3.masaa 24 kabla ya kifo cha sajuki kama vie alijua
  4.uchawi wahusishwa kifo cha sajuki
  5.etc
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,512
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Umekuwa mrithi wa shehe yahaya nini!!!?, afu kaka yako Papaa Mutomboki anakusalimia
   
 3. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Halafu mbona huonekani?cjakuona toka mwaka uingie?sijui tumekuacha 2012?


   
 4. kiladay

  kiladay Senior Member

  #4
  Jan 2, 2013
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RIP Sajuki
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  pia wataandika,
  hofu yatanda bongo movies,nani kufata
   
 6. Yegoo

  Yegoo JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 14, 2012
  Messages: 1,303
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  R.I.P sajuki
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Wema atoa mil 2, msiba wa sajuki.
   
 8. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  mkuu wameanza taratibu
   
 9. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2013
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yataandika chochote ili mradi kuunganisha na Kanumba...

  "afa saa kama aliyokufa kanumba"!
   
 10. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,265
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sajuki aliacha taa ya chumbani kwake ikiwaka. Mwenye nyumba alonga na Sani.
   
 11. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,819
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Wenzako tunamlilia Sajuki wewe waleta masihara!!! Yatakushinda!! Au yameshakushinda tayari!!! Soma hili bango hapa chini halafu mpigie simy Dr Chipoteka atakupa ushauri nasaha.

  Mganga.jpg
   
 12. Salamander

  Salamander JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2013
  Joined: Dec 7, 2012
  Messages: 24,296
  Likes Received: 9,336
  Trophy Points: 280
  Nimechekaje...Sasa dawa ya kujiunga na freemason inakuwaje?
   
 13. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,697
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  kweli shigongo ameharibu sana hii nchi. Hapa anajua atapiga hela ndefu kwa mauzo.
   
 14. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2013
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mengine wataaandika "Waandishi njaa wakosa ubunifu, wakesha jf kutafuta vichwa vya habari"
   
 15. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2013
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Chimbuvu ijumaa tunakikao, usisahau

   
 16. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,819
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Piga kwa huyo dokta atakueleza yote kuhusu hiyo dawa ya kujiunga na freemason inakuwaje. Kumbuka usi beep!!! Ukibeep tu, ili utakapoweka salio kwenye simu yako, lote litaruka kwenda kwa dokta (bila kujali mtandao) kama ushuru wa usumbufu!!!
   
 17. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahah we manoah si ulisema ulishajitoa ama?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2013
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Potezea kidogo! Haya mambo ni ya PM mkuu Chimbuvu
   
 19. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nini maana yake jina langu kuliwekea rangi?   
 20. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2013
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Chimbuvu Chimbuvu mkubwa wangu utajilaumu

   
Loading...