Ndugu Watanzania, tumehesabiwa, jumla tuko 44,929,002.Tanzania Bara 43,625,434 na Tanzania Zanzibar 1,303,568.Asanteni, Dkt. Jakaya M Kikwete.
Sent from my iPhone
Hata kwenye Bunge la Muungano wabunge wa Zanzibar wawe 3% ambao sio zaidi ya 10 ndio hapo ngoma itakuwa draw3% ya watanzania wanaishi Zanzibar, na 97% wanaishi Tanganyika. Nafikiri hili ni jambo la kuzingatiwa sana katika mgawanyo wa Rasilimali pamoja na kutenga budget ya Serekali.
Ndugu Watanzania, tumehesabiwa, jumla tuko 44,929,002.Tanzania Bara 43,625,434 na Tanzania Zanzibar 1,303,568.Asanteni, Dkt. Jakaya M Kikwete.
Sent from my iPhone
Ponda alihesabiwa,hakuwa na ubavu wa kushindana na Serikali!Sheikh Ponda ndio wangapi vile kuhesabiwa? na yeye katumiwa hio sms?
Labda kwa sababu huna umuhimu katika taifa hili!hii sms sijaipata labda kwa sababu sijahesabiwa
Sensa magumashi,wengi hatukuhesabiwa.