Airtel jamani

Airtel jamani

Ngondae

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
7
Reaction score
5
Nimetuma sms 1 nimekatwa sh 125 na kuambiwa nitume sms mtandao wowote kwa sh1. hoja nikwamba hii nibora iwe promotion kwa anaetaka na c kwa kila mteja wengine 125 tunatumia wiki nzima.ni ushauri tu
 
Ujambazi wao haujaishia hapo, njoo kwenye bando wanakwambia chagua kifurushi cha SIKU kwa shs 500, ajabu masaa kadhaa (chini ya 12) toka ulipojiunga muda wako unakuwa umekwisha hivyo kulazimika kuweka tena bando jingine ili hali siku bado haijakamilika!
Najaribu kutafakari umuhimu wa hao tcra siuoni zaidi ya mbwembwe za digital bila maandalizi, kwa nn hii mamlaka isifutwe tukajua moja kwamba wananchi hawana mtetezi.
 
Walitangaza jana!Tsh 125 kwa sms ya kwanza!zingine zote baada ya sms ya kwanza ni tsh 1,siyo promoshen ni kitu cha kudumu!Airtel kazi ni kwako.
 
Sasa kwanini wanilazimishe kunikata tsh 125. sasa kama nina salio la tsh 70 je nitatuma sms?
 
Back
Top Bottom