M4C ARUSHA
Member
- Apr 27, 2012
- 38
- 4
Ponone and company limited amejibu tuhuma za kukwepa kulipa kodi sambamba na kushusha mishahara ya wafanyakazi pamoja na kuwalipa baadhi ya wafanyakazi bila kuwepo kuwepo kwenye pay role
panoneamejibu shutuma hizo akidai kuwa ni wivu wa kibiashara a kwa taarifa zaidi ameshamaliana na mchaga mwenzie tena mtu wa mwika kamshana wa tra harry kitlya na hakuna lolote linalomsumbua.
Kwa mujibu wa mtumishi mmoja kutoka makao makuu hapa jijini dar (jina tunalo)amepita mitaani huku akisema chezea panone kampuni kubwa hii utaloa na hata alipoulizwa nini hasa alidai mambo ya kikubwa ni ukubwa tu wengine wanaiga
akiulizwa kuhusu watumishi hao wenye asili ya kenya john chege,john kirai na genesio sombe ambae ni meneja mkuuvipi kuhusu mishahara yao ambayo nssf na tra haionekani nini kilichojificha hapo alijibu kwa jeuri kuwa wewe ni nani baada ya kuona m4c ipo kazini
aidha chanzo cha habari kimeonesha kuwa watumishi hao hulipwa tofauti na watumishi wote wa panone ili kuhifadhi siri ya kampuni juu ya wizi unaofanywa na mmiliki wa kampuni kuwa mafuta yanapelekwa nje kumbe yanuzwa ndani ya nchi huku akishirikiaa na wafanyabiashara wengine.
Wafanyakazi kutoka mbeya, kiteto, shangarai,na pale same wanasikitia na kudai kuwa bosi wao yaani patrick amekuwa jeuri amkuwa akiwakata mishahara yao na kuipunguza bila kuzingatia sheria na kanuni za utumishi katika sekta binafsi bila kuwashirikisha katika vikao ili kubaini kwanini mikataba yao ya kazi inakiukwa.
Hata hivyo wamedai kuwa hawamjui bosi ni yupi hasa katika kampuni kwani wakenya (walotajwa hapo juu)wamekuwa na sauti na mamlaka makubwa sana katika kampuni hiyo kulikoni ilivyokuwa mwanzo
habari zilizotufikia hivi punde kutoka hapa makao makuu ya mfuko ya hifadhi ya jamii nssf kutoka kwa mtumishi wa mfuko huo (jina tunalo)tayri menejimenti imepanga kukaa ili kujua malipo ya nssf yamepungua kwa kasi kubwa huku biashara ikionyesha bado inaendelea hali hii bado ndivyo hivyo kwa mamlaka ya mapato tanzania tra
watanzania huu ni mfano tu kwa kampuni maja inayokwepesha kodi sanjari na manyanyaso kwa wafanyakazi wazawa je unalolote tushirikiane bila ushabiki