TAHADHARI - Ogopa Mega Wealth | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAHADHARI - Ogopa Mega Wealth

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shy, Sep 22, 2010.

 1. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  TAHADHARI – Mega Wealth

  Ndugu zangu

  Ukipita Njiani haswa maeneo ya mwenge kwenye Internet café na sehemu za watu utaona matangazo ya Mega Wealth wanasema Jiunga na MEGA WEALTH UTAJIRIKE – TOA ALFU 70 UPATE BILIONI 3 .

  Hii ni aina nyingine ya Deci kwahiyo ndugu zangu muwe makini sana huu ni mtandao wa kihalifu unaoanza kusambaa kwa siku za karibuni

  Hii ni taarifa tu lakini unapofuatwa na hawa watu ni wewe mwenyewe ndio utaweza kuamua kama ujiunge au usijiunge .
   
 2. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka pamoja na kutoa tahadhari hiyo, usije shangaa baada ya wiki ukasikia watu wamelizwa. Wajua tena wabongo kwa kupenda vya rahisi.:becky::becky::becky:
   
 3. p

  pierre JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapenda pesa za bure kazi kwenu
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,466
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Aisee meku mbona unaharibu jina la kampuni yetu ya Mega Wealth tutakushataki ati we are no DECI we are just doing online advertising...
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Another Pyramid scheme..only fools will fall for this.
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,673
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mbona wapo wengi tu...utajiri chapchap!
   
 7. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,728
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  inawezekana watu wamechakachukua jina la hiyo kampuni lakini kuna kampuni ya mega wealth ya marekani ambayo ukiandika mchanganuo wa biashara kuna pesa unalipia wanakuja kufanya utafiti halafu wanakupa mkopo kwa masharti kila kitu kitoke Marekani sasa wabongo wameamua kutumia bongo yao kuwaliza watu inabidi tuwe makini
   
Loading...