nime meambiwa na mzee mmoja mmishenary wa kiafrika kuwa wakoloni hasa wa german walificha chini ya ardh hasa chin ym mito isiyo kauka kitu kinacho julikana kama [tunu] yaan ni mzigo mkubwa wenye dhahabu almas na nk .je kuna mtu ana ukwel kuhusu hili?