Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 272
Jamani mwenye taarifa nasikia Sumry ya Kigoma imepata ajali mida hii maeneo ya Nzega eti imetumbukia kwenye korngo/mto, habari imekatika sijapata vema. Mwenye taarifa please
Nasikia walipasua njia ya shortcut na ndio balaa limewakuta, dereva na konda wamesepa
Hayajamani; Hebu fungukeni tuwasome wadauu humu jamvini inatakiwa uje angalau usomeke vema!!!!