Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 748
Wadau mnaokaa Tegeta na viunga vya jirani, hii habari nimekutana nao FB nikaona ni share na nanyi. Kwani ukiona mwenzio ananyolewa,,...!!
KIBO COMPLEX -Tegeta!!
Wadau kiota hiki kimeingiliwa na ule mtandao wa kwapu kwapu kwenye magari mpaka ndani TSN Supermarket.
ni jana tu wame toka kuvunja kiio cha gari alikuwa akiendesha mke wangu. Ndani kulikuwa na begi dogo lenye nguo za kijana wangu, wakidhani kuna laptop!
Siku kama tano nyuma, jirani yetu ana dadake kaibiwa simu akiwa TSN katika mazingira ya utata, maana bada ya kuongea na simu kisha kuitumbukiza kwenye pochi dakika 10 nyingi, imekwenda!
kibaya zaidi nilipo wauliza walinzi hiyo jana nikaambiwa mtu aliekuwa mlinzi eneo la tukio alikimbia kuloa mvua ili hali kuna kibanda cha kujikinga na mvua. alipoulizwa ulikuwa wapi baada ya mvua kwisha, ooh mie nilikwenda upande ule(cheap/poor answers)
... alipoitwa mtu wa camera, camera katika jengo zima hapo mbele ipo moja na haioni sehemu yote ya parking ya jengo kwa mbele, hivyo gari yetu haikuonekana kwenye recorded video yao.another ---- security system plus the guy running/monitoring it.
Pia hakuwepo hapo kwenye camera, mpaka alipoitwa, na maelezo ni kwamba ikifika saa moja usiku inategshwa kuona nusu ya eneo la parking na mhusika anakula kona home kulala mpaka keshooo!!
Je, tatizo la camera kutoona eneo lote mmiliki anajua? Jibu ndio ANAJUA.
another poor responsibility.