Kuna mafuriko Mtwara

Kuna mafuriko Mtwara

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
Habari nilizopokea hivi punde kuwa mtwara kuna mafuriko plz any observer amwage habari hapa tafadhari
 
Yalishapita,yaliathiri baadhi ya maeneo na shule, wahanga bado wapo kambini,unaweza kuwasaidia kwa chochote ulichonacho kutoa ni moyo!
 
Kitengo cha maafa vipi hakijasaidia chochote, au kwasababu ni wapuuzi na wahaini!
 
sijasikia kama wametoa chochote,CCm wameonesha unafiki wao kwa kutoa chakula lakini watu hawana makazi na shule zimeezuliwa
 
Yalishapita,yaliathiri baadhi ya maeneo na shule, wahanga bado wapo kambini,unaweza kuwasaidia kwa chochote ulichonacho kutoa ni moyo!
Plz weka hewani jinsi ya kufikisha msaada
 
Yalishapita,yaliathiri baadhi ya maeneo na shule, wahanga bado wapo kambini,unaweza kuwasaidia kwa chochote ulichonacho kutoa ni moyo!

Nadhani hujamuelewa mtoa mada.
Au labda kwa kuwa mafuriko yalishatokea hayawezi kutokea tena, maana mtoa mada anasema ni hivi punde
 
habari alizopokea hivi punde,na mafuriko yametokea tarehe 4/01/2013,leo tarehe 7/01/2013 labda uelewa wangu wa lugha ni mdogo.
 
Back
Top Bottom