Wenye Daladala, Dili Hii

Wenye Daladala, Dili Hii

Richard Mlangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
380
Reaction score
194
Kuna route ambayo bado kurasmishwa ya kutoka Mbezi stand mpya hadi Mpiji Magoye.
Ni mwendo wa kama km 8 au 9 ( dakika kama 15 ).
Barabara sio lami lakini ni nzuri hata kama gari yako ni mpya.
Ni mwendo mfupi sana kulinganisha na nauli, barabara nzuri kwa nauli kubwa, fursa hiyo.
Dili kwa sababu kuna gari chache chakavu (mikangafu) zinaoperate route hiyo kwa nauli ya TShs 500 !
Ni ka mwendo kafupi kwa nauli ya TShs 500, what a boom !
Abiria ni wengi sana na huwa wanapanda kwa foleni na wanaoshindwa kusubiri hutumia pikipiki.

Haya Wajasiriamali Fursa Hiyo !
 
Mhh! Unajipigia debe daladala zije huko madongo kuinama. Duh! Mjini shule!
 
Mpambanaji hakurupuki bwana GITHERI, kama una gari unaenda kucheki kwanza route. We mtoto wa mama na isitoshe huna gari na hii imetangazwa kwa watafutaji.
 
Una ID ngapi humu? Ujumbe wangu haukuwa na content mbaya soma uelewe. Mjini shule nilimaanisha u mpambanaji na ndio inavyotakiwa tuwe creative ktk maisha km ulivyofanya. Umejuaje km sina daladala? Usidharau watu.
 
Kuna route ambayo bado kurasmishwa ya kutoka Mbezi stand mpya hadi Mpiji Magoye.
Ni mwendo wa kama km 8 au 9 ( dakika kama 15 ).
Barabara sio lami lakini ni nzuri hata kama gari yako ni mpya.
Ni mwendo mfupi sana, barabara nzuri kwa nauli kubwa, fursa hiyo.
Dili kwa sababu kuna gari chache chakavu (mikangafu) zinaoperate route hiyo kwa nauli ya TShs 500 !
Ni ka mwendo kafupi kwa nauli ya TShs 500, what a boom !
Abiria ni wengi sana na huwa wanapanda kwa foleni na wanaoshindwa kusubiri hutumia pikipiki.

Haya Wajasiriamali Fursa Hiyo !

ahsante mkuu kwa taarifa,nakuja kesho kuservey
 
Back
Top Bottom