Makonda wa mabasi yaendayo mikoani ubungo huwa wananifurahisha kitu kimoja, unapokuwa unapita mitaa hiyo hapo ubungo halafu wakakustukia kama ni msafiri vile, basi mtu...
Wakati Polisi wanatafakari vifo mbalimbali vya wenzao vinavyotokana na vipigo kutoka kwa watu wanaosemekana wana hasira kali,Leo majira ya saa tatu asubuhi katika mataa ya chang'ombe wameshikana...
Mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya Shinyanga Mjini
Update, by mbumbumbu,
sababu.. wamachinga
kuhamishwa eneo la biashara
'TOWN XUL'...
Mrithi wa mali achinjwa mithiri ya kuku, Kilimanjaro
Mkuu wa majeshi ya polisi,IGP Said Mwema.
Kwa mujibu wa maelezo ya ndugu wa marehemu wanasema kijana huyo aliyekuwa akilelewa na baba...
Wakuu ITV wanarusha hewani promotion ya kipindi cha malumbano ya hoja ya wiki hii ambacho kina kichwa kinachosema WANAOTAKA RASILIMALI ZA NCHI KUNUFAISHA MIKAO INAKOTOKA, JE, WANADHAMIRA YA...
05/01/2013
Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale...
WANAJF;
Ndugu zangu nina ndugu yangu alipata division 4 ya point 29 baada ya kusoma QT kwa miaka 2. Matokeo ya masomo kama ifuatavyo, History C, Kiswahili D, Civics D, Geography D, English...
Hawa wapandaji wa maua kando kando ya barabara wanahusika kwa kiasi kikubwa kufanya uharibifu wa mitaro ya maji. Ili kupata maji ya kumwagilia maua, wanachukua "viroba" vilivyojaa mchanga na...
Kwa mara nyingine tena, Jana wakazi wa dar es salaa wamepata fursa ya kuwa alerted kwamba wanaishi katika sehemu ya hatari kwa usalama wao kama itatokea kushambuliwa na ama mchafuko wa bahari au...
Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI kwa heshima Tunakuomba uimulike halmashauri ya wilaya ya Nzega kwani ni miongoni mwa Halmashauri zinazoendeshwa bila utaratibu.Naamini mfupa ulomshinda Mkuchika...
Je ni sahii kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kwenda kwenye msiba wa msanii Sajuki?Sajuki alikuwa anainfluence gani katika Taifa?je alikwenda pale kuwakilisha kama Rais au alikwenda...
Hv TCRA hakuna maofisa wengine wanaweza kuongea na watanzania kuhusu dijitali? kila siku mungi na kila siku yale yale tupeni watu wapya wawaelekeze watanzania kwa njia nyingine mungi hana jipya.
Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi...
The hike of Mt Kilimanjaro called Summit on the Summit Kilimanjaro (SOTSK) has started and will continue for the next week.
You can follow the progress on my blog (LINK), through our P&G...